Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,636
1925 - Asa Earl Carter anazaliwa.
Alikuwa ni kiongozi wa kundi la Ku Klux Klan la huko Marekani.
KKK
Lilihusika na nini?
.........
1925 - Asa Earl Carter anazaliwa.
Alikuwa ni kiongozi wa kundi la Ku Klux Klan la huko Marekani.
1981 - Beyonce Knowles anazaliwa.
Ni mwanamuziki toka nchini Marekani.
Mke wa Jay Z.
1985 - Raul Albiol anazaliwa.
Ni Mchezaji wa zamani wa Valencia na Real Madrid.
Kwa sasa anakipiga Napoli ya nchini Italia.
Pia ni mchezaji wa tinu ya taifa ya Spain ambapo ameshashinda kombe la dunia mwaka 2010.
1993 - Yannick Carrasco anazaliwa.
Ni mchezaji wa klabu ya Atletico Madrid na timu ya taifa ya Ubelgiji.
Imekuwa kidigitali zaidiBado ipo SP.
Ni kampuni kubwa sana!!
Na ramani ya Chato na picha za ndege la pangaboiInaleta Tanzania
Bado ipoKodak bado ipo?! na hii teknolojia ya kujipiga picha na simu mmh
Namkubali sana Beyonce, pia nimemuona kwa macho yangu1981 - Beyonce Knowles anazaliwa.
Ni mwanamuziki toka nchini Marekani.
Mke wa Jay Z.
Asante mkuu mussolin kwa leo katika historiaLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa KF members, sina la ziada tukutane kesho!!
Karibu JJ kwa magazeti.
Jumapili njema!!
Likitua tu bongo linakamatwa na wadai sugu wanaoidai atclNa ramani ya Chato na picha za ndege la pangaboi
![]()
![]()
![]()
![]()
.........
kweli mkuuImekuwa kidigitali zaidi
........
Winga
Anti-CatholicView attachment 393246View attachment 393247View attachment 393249View attachment 393250
KKK
Lilihusika na nini?
.........
WALITAMBA SANAView attachment 393255View attachment 393256View attachment 393257View attachment 393258
Kikosi cha dhahabu
......
.
hahahaaNa ramani ya Chato na picha za ndege la pangaboi
![]()
![]()
![]()
![]()
.........
Hongera mkuuNamkubali sana Beyonce, pia nimemuona kwa macho yangu
Pamoja sana!!Asante mkuu mussolin kwa leo katika historia
Serious?Namkubali sana Beyonce, pia nimemuona kwa macho yangu
Watalificha waoi sasaLikitua tu bongo linakamatwa na wadai sugu wanaoidai atcl
Asante mkuuHongera mkuu