Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,636
Duuuh wapinga Kristo na kueneza Unazi mambo leoAnti-Catholic
Neo nazism
......
Duuuh wapinga Kristo na kueneza Unazi mambo leoAnti-Catholic
Neo nazism
Kweli, unakumbuka alikuja bongo na jayz, kwenye program ya maji, alikuja mpaka mwananyamalaSerious?
![]()
![]()
![]()
........
Sasa wanajamba sanaWALITAMBA SANA
Chini ya marehemu Algones, alikaa na hiyo timu muda mrefu sana mpaka kupata mafanikio hayoWALITAMBA SANA
OKKweli, unakumbuka alikuja bongo na jayz, kwenye program ya maji, alikuja mpaka mwananyamala
Noma sana mkuuAngalia usije kuhonga na gar yenyewe...
Tuko poa kabisaMmeamkaje hapa
Mombasa Kenya??T'sup Kapukuz
wenye haja ya ajira waje kwa Pm kwa maelezo zaid.
kazi yenyewe iko Mombasa ni ya miezi 6 tu..
Asanteni
Naunga mkono hojaNi vipi kaka kwema? Kama una muda utuwekee tena mix moja takatifu kama jana![]()
KAPUKU'S TOP VIBES: RHYTHM AT THE EDGE OF THE SABBATH
1. Be without- Marry J Blige
2. Another Day in paradise- Brandy ft Rayjay
3. How you gonna Act like that- Tyrese Gibson
4. When i see you- Fantasia
5. I'm your angel- Celine Dion ft R.kelly
6. Spotlight- Jennifer Hudson
7. No diggity- Blackstreet.
8. Kiss from a rose- Seal
9. Tell me- Bobby Valentino ft Lil Wayne
10. Let me love you- Mario
11. Heaven Sent- Keyshia Cole
12. Karma- Lloyd Banks ft Avant
13. Break Away- Kelly Clarkson
CC: briz , Sweetiepie , Jimena , werrason , Bitoz , shululu
Nenda page ya 38Naunga mkono hoja
Cc Cobblepots
Asante sana...!!Leo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa KF members, sina la ziada tukutane kesho!!
Karibu JJ kwa magazeti.
Jumapili njema!!
Mbona kama mashetani hawa.View attachment 393246View attachment 393247View attachment 393249View attachment 393250
KKK
Lilihusika na nini?
.........
Huyu beyonce nae kwenye suala la umri ni kama sepenga...maana mara 1981 mara sijui 1978 eeeh!!
1. Be without UNaomba nione Top 5 yako hapo Makaveli na Shululu
Ni mrembo kwakweliNamkubali sana Beyonce, pia nimemuona kwa macho yangu
Kodak ni kongwe ikibibidi hivyoLeo katika Historia:
1888 - George Eastman anaanzisha kampuni yake ya Kodak huko Marekani.
Kodak inajihusisha na utengenezaji na usafishaji wa picha.