Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,232
- 68,262
Wamekula chumviKodak ni kongwe ikibibidi hivyo
Wamekula chumviKodak ni kongwe ikibibidi hivyo
Augusto Pinochet alikuwa ni kibaraka wa Marekani na aliongoza nchi kwa mkono wa chuma.Kumbe Pinochet alikuwa zao la kupandikizwa
Ni kweli, ila na uvumilivu wa kocha, baada ya kuvurunda kwenye mashindano ya mataifa ya mwaka 2008, wahispania wengi walitaka atimuliwe kabisa, lakini Chama kikawa na imani naye, na baadaye wakaona matunda yakeAragones alikuwa fundi sana, ila pia tukubali credit ziende kwa Barcelona kwa kutengeneza msingi uliokuwa mzuri kwa klabu yao na timu ya taifa.
Chini ya mfumo huo, Xavi hakuwa binadamu wa kawaida!! Yeye ndio alikuwa " conductor " wa tik-taka ndani ya uwanja kwa klabu na timu ya taifa.!!
Hatariii mkuu...sisi tumegundua chura.Google ya juzi ila imeushika ulimwengu
HazeekiHappy Birthday mama Blue Ivy
Ahsante KatibuAsante sana kwa historia
Yahoo nayo ilisumbua kiasi chake!!Yahoo ameishapotezwa kabisa
Kupatwa kwa bro
Kuweka rekodi sawa.Ni kweli, ila na uvumilivu wa kocha, baada ya kuvurunda kwenye mashindano ya mataifa ya mwaka 2008, wahispania wengi walitaka atimuliwe kabisa, lakini Chama kikawa na imani naye, na baadaye wakaona matunda yake
Aragones alikuwa fundi sana, ila pia tukubali credit ziende kwa Barcelona kwa kutengeneza msingi uliokuwa mzuri kwa klabu yao na timu ya taifa.
Chini ya mfumo huo, Xavi hakuwa binadamu wa kawaida!! Yeye ndio alikuwa " conductor " wa tik-taka ndani ya uwanja kwa klabu na timu ya taifa.!!
AhsanteView attachment 393313View attachment 393314
Asanteni sana kwa kuwa nami katika kuperuzi magazeti ya Leo
Jina langu ni Jimena Jimenes
Kwa udhamini mkubwa kabisa wa ankali shululu na post ya 96k nawatakia jumapili njema na muwe na furaha tele
Adios
Nimemchanganya ni 2006 kombe la Dunia ujerumaniKuweka rekodi sawa.
Hispania alibeba ubingwa wa Mataifa ya Ulaya mwaka 2008 chini ya Luis Aragones.
Unamkumbuka Marco Senna.
Muito obrigado mi hermanas...View attachment 393313View attachment 393314
Asanteni sana kwa kuwa nami katika kuperuzi magazeti ya Leo
Jina langu ni Jimena Jimenes
Kwa udhamini mkubwa kabisa wa ankali shululu na post ya 96k nawatakia jumapili njema na muwe na furaha tele
Adios

PleasureAhsante
Gracias mi hermanasMuito obrigado mi hermanas...![]()