Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Kwahiyo sisi hatuna hisia??Tunapendwaga.
Kwahiyo sisi hatuna hisia??Tunapendwaga.
Mwambie aweke pichaNa nani
Huyu Makaveli yuko wapi lakini mie nilofanya kumsapoti yamenikuta!!Kwahiyo sisi hatuna hisia??



Atakuwa kwa jirani labdaHuyu Makaveli yuko wapi lakini mie nilofanya kumsapoti yamenikuta!!![]()
Mimi natamani kuona hiyo miguu ya Jay Z live bila chengaNamkubali sana Beyonce, pia nimemuona kwa macho yangu
MweeeHuyu Makaveli yuko wapi lakini mie nilofanya kumsapoti yamenikuta!!![]()
We njoo tu, lakin wajua madhara ya ke na me kukaa chobingo!!!?Najaaa
KAPUKU'S TOP VIBES: RHYTHM AT THE EDGE OF THE SABBATH
1. Be without- Marry J Blige
2. Another Day in paradise- Brandy ft Rayjay
3. How you gonna Act like that- Tyrese Gibson
4. When i see you- Fantasia
5. I'm your angel- Celine Dion ft R.kelly
6. Spotlight- Jennifer Hudson
7. No diggity- Blackstreet.
8. Kiss from a rose- Seal
9. Tell me- Bobby Valentino ft Lil Wayne
10. Let me love you- Mario
11. Heaven Sent- Keyshia Cole
12. Karma- Lloyd Banks ft Avant
13. Break Away- Kelly Clarkson
CC: briz , Sweetiepie , Jimena , werrason , Bitoz , shululu


Kama hataka kuamin achana nae.. Hatumlazimishi kuamin.Huo ndo ukweli
Si unaniambia tu kuhusu ile ishu ya nyoka then tunatoka au kama hutokuwa comfortable basi tupotezee tu.We njoo tu, lakin wajua madhara ya ke na me kukaa chobingo!!!?
Mahaba niue, kichwa kuuma miguu kutetemeka..Cc: Makaveli
Teh.. Teh.. Tehh.. Kweli papuchi nyoko..
Never underestimate the power of papuchi



uko sahihi kwa asilimia kubwa sanaNzuri karibu BrizeeeeeHabari za jumapili kapukuz!
Nipo mpenz.. Niliuwa naanda mazingira, unajua leo tunasafar nikupelke kwa mkweo, unakumbuka!!?Huyu Makaveli yuko wapi lakini mie nilofanya kumsapoti yamenikuta!!![]()
Ukitoa shilingi 10,000 bar unaonekana kibopa lakini ukitoa hiyo noti kwenye daladala unaonekana msumbufu.. Hii inaitwa muktadha... Ukivaa gauni refu la kitenge kanisani unaonekana una maadili ila ukivaa gauni kama hilo club unaonekana mshamba... Hii inaitwa utambuzi... Ukinyoa para kama una hela unaonekana smart ila kama ni masikini unaonekana chokoraa.. Hii inaitwa nguvu ya pesa.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
MUWE NA WEEKEND NJEMA WAUNGWANA......




Yaah nafaham my love...ngoja nijiandae fasta.Nipo mpenz.. Niliuwa naanda mazingira, unajua leo tunasafar nikupelke kwa mkweo, unakumbuka!!?
Huyu hakuwa mbishi asee, unaanzaje kujiuwa wakati ulikua unamiliki jeshi?1970 - Salvador Allende anachaguliwa kuwa Rais wa Chile.
Miaka mitatu baadae anapinduliwa katika kile kilichoitwa mapinduzi ya Kijeshi yaliyoungwa mkono na CIA na kumiweka madarakani kibaraka, General Agusto Pinochet.
Baada ya kupinduliwa Rais Allende alijiua kwa kujipiga risasi.
Mwewe..Mweee