Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ukitoa shilingi 10,000 bar unaonekana kibopa lakini ukitoa hiyo noti kwenye daladala unaonekana msumbufu.. Hii inaitwa muktadha... Ukivaa gauni refu la kitenge kanisani unaonekana una maadili ila ukivaa gauni kama hilo club unaonekana mshamba... Hii inaitwa utambuzi... Ukinyoa para kama una hela unaonekana smart ila kama ni masikini unaonekana chokoraa.. Hii inaitwa nguvu ya pesa.


MUWE NA WEEKEND NJEMA WAUNGWANA......
umepotea sana mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom