Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahaa...[emoji23] [emoji23]

Kwahyo unataka kusema himena himenes ni ndezi..[emoji15] [emoji15] [emoji86] [emoji86]

Hapana kwa kweli napinga kwa nguv zote kuliko za ukuta, shemej yangu hawez kuwa ndezi..[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Naanzaje sasa kuwa ndezi kwa mfano???
Asante my shemeji kwa kuhakikisha hadhi yangu inakuwepo
 
1472907457528.jpg
1472907464665.jpg
Mhhh kwa muonekano huu nawaunga mkono waliomuondoa huko Saudi Arabia. [emoji47][emoji47][emoji47]
 
Back
Top Bottom