Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,652
- 25,849
thumbz up ma ninjaNzuri kijana wa mujini...
thumbz up ma ninjaNzuri kijana wa mujini...
We acha tu yani, Hamad International AirportHaha sure, yan unakuta mtu labda unasubiri saa zima kuconnect flight basi unatamani hata uingie mtaani kabisa

Umeamka pacha?Nzuri kijana wa mujini...
Itafanikiwa tu na PM itaanza kufanya kazi kama zamaniHii naifanya kimahaba kabisa haiwezi kufeli![]()
![]()

wenzetu wana mipangoJmn kumbe juzi hiv
Nafurahi kusikia na wewe unapenda muziki jirani...Nazikubali sana hizi chanel, hits niya uingereza wanapiga sana nyimbo za uingereza

Sisi sijui lini???wenzetu wana mipango
AhsanteView attachment 392675View attachment 392676
Nimemaliza kwa Leo. Sina budi kuwashukuru wadhamini wetu ambao ni kupatwa kwa vikongwe.
Niite Jimena Jimenes
Nawatakia jumamosi njema kabisa
Hapana sie yeyeHuyu na yule aliyekuwa Madrid akanyang'anywa no na Casillas Wana uhusiano?
KaribuNazani natakiwa kuwa huku.
hahahaaMatamko meeeeeengi
Ht Penguin wanatusha gaa ndio maana hupenda kusimama
![]()
![]()
![]()
..........
Au mgamboKazoea majeshi ya wanyamapori aliwahi kuajiriwa
![]()
![]()
![]()
...........
Kweli. Asiyezeeka ni yule Buffon.Zama zake zishapita
.......
UingerezaKwan walitawaliwa na nani hawa?
Siku zinahesabika lakiniKweli. Asiyezeeka ni yule Buffon.
Pamoja sana mwenye chairAhsante
Katika umri wa miaka 38 unategemea nini zaidi!!Siku zinahesabika lakini
Kapatwa na gizaKama vip hvyo...
Ahsante!!Pamoja sana mwenye chair
Weka pichaAhsante!!