Alaa kumbe!!Kujichoma moto kijana ndio kulimuondoa madarakani
Huwa namkubali sana huyu jamaa, hasa wakati wake akiwa Inter Milan ya Jose Mourinho.
Ni siku ya Jeshi la Watu wa Jamhuri ya China.
Ahsante!!Asante mkuu na uwe na Sabato njema
hahahaaa...ahsante!!Hahahahahaha yani nimecheka mno...
Sabato njena na kwako pia
Jmn kumbe juzi hivLeo katika Historia:
1971 - Qatar yajitangazia Uhuru wake.
Huyu na yule aliyekuwa Madrid akanyang'anywa no na Casillas Wana uhusiano?Huwa namkubali sana huyu jamaa, hasa wakati wake akiwa Inter Milan ya Jose Mourinho.
Leo katika Historia;
Kwa Udhamini mnono wa Kupatwa kwa Vikongwe Forum, tukutane kesho.
Karibu JJ kwa magazeti.
Sabato njema.
Byee!!!

Asante sana na kwako pia JJView attachment 392675View attachment 392676
Nimemaliza kwa Leo. Sina budi kuwashukuru wadhamini wetu ambao ni kupatwa kwa vikongwe.
Niite Jimena Jimenes
Nawatakia jumamosi njema kabisa
Sidhani kama wana uhusianoHuyu na yule aliyekuwa Madrid akanyang'anywa no na Casillas Wana uhusiano?
Sasa Leo ile maneno ya kulewa huku mnadrive muacheAsante sana na kwako pia JJ
Acha undezi ht JWTZ kirefu chake hujui watu=wananchiJeshi la watu?? Kwani mengine ni ya nani?
Inatokea Mara chache sana km akina XhakaKila mtu akiamua kivyake, mimi ujerumani na wewe Ghana
Wana hela....wamekiponza kile kibabu cha FIFAWalihonga kupata nafasi