Mko vizuri, Safi sanaVery true, hata mi primary nlikua nachora sana na kuna kipindi nilienda mpaka mashindano ya kimkoa judge alikuaga masoud kipanya lakin baadae nlijikuta nimeacha baada ya kukomaliwa niconcentrate na shule
Jirani tena..Jirani ni kwel kwenye movir tunadanganywa maana mi kuna mmoja nilimfahamu alishiriki hiyo vita pia...alinambia wenzake wote walikufa vibaya sana na yeye alipugwa risasi ya bega na akachomwa visu vya kifua sana tu ila siku yake haikufika..yeye mwenyewe naye kafa mwaka jana sema alikuwa ameshaachana na mambo ya Jeshi! sema alisema kuna poison wa Vietnam walikuwa Wanawatega wao Wamarekan sasa ilikuwa inaua mwili taratibu...akasema jamaa wa Vietnam walikuwa wana technics sana sio watu wa kuchezewa.
Ndo tofauti yetu na wazunguVery true, hata mi primary nlikua nachora sana na kuna kipindi nilienda mpaka mashindano ya kimkoa judge alikuaga masoud kipanya lakin baadae nlijikuta nimeacha baada ya kukomaliwa niconcentrate na shule
Nakumbuka niko Primary nikamchora Mkapa katika mashindano ya Kiwi...hata sijui iliishia wapi wakachukua Art yetu...feedback No ila nikaja kuskia tulifanya vzuri sema maticha walifanya fitna.Very true, hata mi primary nlikua nachora sana na kuna kipindi nilienda mpaka mashindano ya kimkoa judge alikuaga masoud kipanya lakin baadae nlijikuta nimeacha baada ya kukomaliwa niconcentrate na shule
Jimena anahusika % bukuHaha ni kweli kabisa mkuu, nishatafuta solution
Love wange umemuona Shululu lakini?Jimena anahusika % buku
Hapo muheshimiwa amekurupuka..Kipindi cha nyerere alikua anawaweza wanaoficha hela kwa kuwa ilikua ni ngumu kubadilisha hela mitaani ilikua ni benki kuu pekee lakin sa ivi sidhani kama kuna anayeficha hela bila kuzibadili kwanza na hata hivyo ma-bereau de change yamejaa kibao... Sio kitu kirahisi sana kuchapisha fedha mpya kama mkulu anavyosema hasa nyakati hizi
Well....nisamehe hubby ake jaman, jiran kanikaa sana mdomoni pia leo nna tatizo la ku Mis-quote sijui ni nini hiki...Jirani tena..
Maigizo ili kuipa promo kauli ya mkurupukajiView attachment 392354 Pale unaposikia Magu atabadili noti ya elfu 10, full kuzifukua kutoka mafichoni...
Akati mie nakufahamuNingewaonesha katuni na picha tatizo zina JINA LANGU hivyo si unajua JF watu hatutaki kujulikana
.........
Mmama kiumbile, mwanaume kifikra.Maneno mujarab kabisa, huyu mama lazima alikua ni kichwa kiuchumi
Kadogo flani hivi swaga kibaaao....yani we jua nakufahamu kha!!Nikoje?
...........
Bongo je??Maneno mujarab kabisa, huyu mama lazima alikua ni kichwa kiuchumi
Empty set head.
Mimi ni teja nashinda Beach MabiboKadogo flani hivi swaga kibaaao....yani we jua nakufahamu kha!!