Akirudi tu imoooooo
Ile ligi atatupia hat trick kibaoAkirudi tu imoooooo
Hanogi hata kwa kulumagia...

Huko wanashindana hat trick tuIle ligi atatupia hat trick kibao
......
Sio mshabiki wa the blues Ila huyu jamaa namkubali sana
Umetisha mumeWatoto wetu watakuwa smart zaid ya hao.. Wawe wanapiga calculation kama baba yao.. Miaka 5 tu kila mtu na laptop yake anajifunza kupiga code, miaka 10 tu wasolve calculus kama isaac newton mwenyewe..