Ngumu kurudia enzi kama hizo..Ukuta wa Berlin!! Kipa na back four yake yote ndio ulikuwa ukuta wa Arsenal na England.
kama leo Juve na Italy.
Na hilo ndio tatzo, wenger anatimiza malengo ya mabosi, anatuchefua mashabikiAnawaingizia faida kubwa
Thnx mkuu...Hongera kwa 95k
Hiyo haiwezi kurudiNgumu kurudia enzi kama hizo..