Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
20sek ya noti[emoji1] [emoji1] [emoji1] kuna mtu akawa ananishinikiza niiache eti itakuwa wanafunzi ndio wamedondosha nikaona asiniletee siasa nikaiweka kwenye mkoba kisha nikachukua [emoji468] nikaendelea na safari zanguIlikuwa yangu naiomba