Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Asante [emoji18] [emoji18]Waoh!! So cute
Asante [emoji18] [emoji18]Waoh!! So cute
Mi sijambo, hofu na mashaka ni kwako tu?U hali gani bibie?
Mara ya mwisho mi kuokota hela i was 12yrs, watu hawadondoshi siku hizi [emoji4] [emoji4] [emoji4]Usawa mgumu huu maana hata hela njiani hatuokoti siku hizi kama zamani.
[emoji28][emoji28][emoji28]Halafu kwanini umeweka picha yetu hadharani jamani???
Wataanza kuona wivu sasa[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Unaogopa?? Teknolojia inakuwa hivyoHii mbona inatisha sasa
[emoji9][emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Na usafi nao umeahirishwaNasikia nako kumeahirishwa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hashtag ni nini hiyoo??Post [HASHTAG]#94444[/HASHTAG]
Cc: MakavelliU a mine
Lovely [emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 391483 Briz and JJ...
[emoji7][emoji7]Sukari yako nko hapa[emoji181]
Ifike mahali haya majina uangalie namna ya kufupisha[emoji37] [emoji37]Hujambo sweetie?
Ewaa swadakta kabisa mamaa ya batoto..Yale mambo yetu yaleeee
Pesa inatafutwa kwa tochi, harafu idondoshwe tena,Mara ya mwisho mi kuokota hela i was 12yrs, watu hawadondoshi siku hizi [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Huu mshale kwa makavel[emoji7][emoji7]
Hata akijitokeza mpinzani mpya mi ntapambana mpaka sekunde ya mwisho [emoji4]Hongera sana mawindo yako safari hii hayana mpinzani
Katishika tuUnaogopa?? Teknolojia inakuwa hivyo
Twende tukaoge mupenzi wa mimi...umepika nini asubuh hii baby? vinanukia sana jamani...[emoji487] [emoji477] [emoji484] [emoji507] [emoji506]Chwiti pii wangu wake up mamii.. Twende tukaoge then tupate staftahi, nishaandaa ipo mezan.. Chakula kukaa mezani muda mref hv si vzur lv.. Get up cwr..[emoji7] [emoji7]
Hhhmm... We si wa jimena weweNina hati miliki ya swt p naona unaintafia