Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Poa sana hasa baada ya ujio wako.Missing you tooto the moon and back
Uko poa lakin?
Habari za Iringa?
Poa sana hasa baada ya ujio wako.Missing you tooto the moon and back
Uko poa lakin?
BwahahahahahaaaaaaHamna namna nyingine sasa...., upweke unauma bhaana hata anko T wa kipindi cha Ubongo Kids aliimba....
![]()
Kamkabidhi JJ kwako...ndio ujue hivyo

Hujui kuwinda eeeKumbe! Basi jamaa atakua kalivua pendo kishujaa sana, na mi nampokea JJ kwa mikono miwili
Usawa huu wa anko Magu!!!Msamehe....![]()
Hehehe basi hakuna shaka. Tutakuhadithia ambazo hukusomaNi nyingi sana nyingine nlikua naziruka tu
Basi naskia lahaaa....![]()

Weka pichaAtawafaa huyu..
DahUmionaeeh!!!

Bahati mbaya, kila anayosoma inamshawishi aendeleeHehehe basi hakuna shaka. Tutakuhadithia ambazo hukusoma
Bitoz katisha sana
UkutaNlicheka sana ulivyosema ni usalama... Mwenyewe nlihisi hivyo hivyo labda alikua mzee wa system![]()
Weka pichaKufa kufaana
Huu sasa uchochezi....au nilale nikuache ujimwayemwaye me mzee wa counter attack![]()

Cc SweetiepieKama warembo wenyewe wa ukuta ndio kama hawa bora kesho, nishinde na ubavu wangu nyumban.. Hawamfikii walau robo cwt"P" hafai hata kuwa mchepukoo...
Weka pichaaaKamkabidhi JJ kwako...ndio ujue hivyo
Kama kuni za kupikia Pilau la sikukuuHuu sio mguu wa kuvalia pensi