Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Haya bhana, ipo ck utasema tu![]()
Nipo tu sehemu flani hivi huku duniani tumejichimbia na baby wangu
Haya bhana, ipo ck utasema tu![]()
Nipo tu sehemu flani hivi huku duniani tumejichimbia na baby wangu
embu muulize nimpe sh. ngapi ili akuache weweSasa ntamwambia nini honey wangu? Gari limetoka kwa nani? Na kwanini amenipa? Na nina mahusiano gani na huyo aliyeninunulia gari?
Subiri uonehahahaha haya mambo haya Fanya hivyo basi halafu tuone itakuaje
Kwakweli mapenzi tupa kuleeeeMwache mzee mbona unamlazimisha kasema yuko single lady kama mimi nilivyo single boy tushachoka na mapenzi ati

hahahaha karibu wewe ni mkongwe humu. Ila karibu ushiriki nasi humuHivi nami si ni Kapuku pia?
#JustAsking.
Jamani, hilo tofali linaanzaje kuingia mdomoni?Meza matofali
![]()
![]()
![]()
![]()
....................

Mkuu unataka makapuku wapungue???Meza matofali
![]()
![]()
![]()
![]()
....................
tisha mbaya kapuku sisi. Tupo kwenye ubora wetu hakika kapuku oyeeeee
embu muulize nimpe sh. ngapi ili akuache wewe
Yaani wewe. Hataki hela zakongoja nisubiri action tu kama movie ndo kwanza trailerSubiri uone
Kama kambare baba ndevu, mama ndevu na mtoto ndevu. Haijulikani nani mtoto na nani baba@@@ Makapuku tunalisongesha
Daah haya matusi sasa, uuze mke!embu muulize nimpe sh. ngapi ili akuache wewe
mwambie achague kitu kimoja, kati ya pesa au kifo?![]()
Yaani wewe. Hataki hela zako
Pesa zako baki nazo tumwambie achague kitu kimoja, kati ya pesa au kifo?
endelea kusoma ramani ili ujue utaanzia wapiHata mimi naamini atanielewa tu..
Bora kifo cha heshima kuliko pesa za aibumwambie achague kitu kimoja, kati ya pesa au kifo?
Hili jibu nalo ni la karneMeza matofali
![]()
![]()
![]()
![]()
....................