Makapuku Forum

Makapuku Forum

Anazingua huyu
Yan hajielewi kabisa
amaizing unajua wewe ndo unanifanya hata jina langu kwa sasa naweza sahau yaani mtu akiniuliza ghafla asee unaitwa nani naweza sema amaizing...Niko serious nakufeel sana asee naomba uwe wangu na mimi niwe wako...Mtoto mzuri macho ya mviringo, ukicheka unadimpo, yaan mwendo wa madaha kwako nimefika yaani sijiwezi asilani..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom