Makapuku Forum

Makapuku Forum

umeniangusha ndugu amaizing alikuwa anaelekea vizuri kabisa sasa ulikosea kumuita dada. Dada maana yake ndugu. Ngoja tutajaribu baadae. Don't panic just relax
Ok si unajua alivyotokea tu na akasema nimeshakuja nilipanic mbaya nikashindwa kujua ni dada angu ama ni nani..Usichoke kamanda tuendelee kupambana hope ataelewa tu..
 
makapuku naona mmetisha bandera inapepea mbaya nguzo ya chuma ,kamba mnyororo naona hata kije kimbunga bendera haitoanguka sio?
tisha mbaya kapuku sisi. Tupo kwenye ubora wetu hakika kapuku oyeeeee
 
Kwani huyo dada yako??
Nahrene si unajua nilipanic ulishawai kumwita poliiiiis kiutani ukijua hatosikia halafu ghafla akasikia akawa anakufuata anasema niambie umeniitia nini...Ndiyo kilichonitokea hapa..Ila wacha nipambane na nifikishie ujumbe kuwa naomba radhi kwa yote na naomba nafasi ingine hakii sintomwita dada tena..
 
Nahrene si unajua nilanic ulishawai kumwita poliiiiis kiutani ukijua hatosikia halafu ghafla akasikia akawa anakufuata anasema niambie umeniitia nini...Ndiyo kilichonitokea hapa..Ila wacha nipambane na nifikishie ujumbe kuwa naomba radhi kwa yote na naomba nafasi ingine hakii sintomwita dada tena..
Ndo uongee nae sasa akuelewe kama utaweza
 
makapuku naona mmetisha bandera inapepea mbaya nguzo ya chuma ,kamba mnyororo naona hata kije kimbunga bendera haitoanguka sio?

Kama kambare baba ndevu, mama ndevu na mtoto ndevu. Haijulikani nani mtoto na nani baba@@@ Makapuku tunalisongesha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom