Nahrene
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 938
- 2,908
Th Name :Angalia na huo msaada unaotoaNdugu yangu kabisa huyu na si unajua tulianza kuimbisha wote so kupigwa kwangu chini ni aibu yake pia so hana namna tena na nikiona hakieleweki mi najitoa namwachia msala mwenyewe Th Name
Haaminiki huyo, mambo yakimuendea vibaya atakulaumu ndugu yangu unaniangusha ujue

