Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] utapigwa shauri yako
baby wangu huyo asikupe tabu kabisa. Wewe umeona nyakati hizi watu wanatongoza kwa barua na maneno ya uongo kibao. Eti usiku silali ila nakuota. Kwani amekuwa mbegu au.

My love miss you sana
 
Th Name Come this way naogopa hata kuandika chochote nisije nikaharibu tena hapa...Nashukuru kwa kunisamehe nashukuru sana sasa nimwite nani hapa.. Nahrene ili nisiharibu tena baada ya kupata msamaha huu unadhani nimwite nani sasa jamani..
Hahahaha....... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tafuta movie yoyote romantic halafu usikilize wanayoyasema
 
Back
Top Bottom