Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Cha msingi tuombe uzima tu halafu tuone nini kitatokea tuCity man lazima aende finaly na atletico madrid
Cha msingi tuombe uzima tu halafu tuone nini kitatokea tuCity man lazima aende finaly na atletico madrid
manuu analalamika huku, muonee hurumaNilitoka kidogo
Nimerud sasa
Hata hizo huruma haziji mpaka ajiongeze mwenyewe. Tunamfariji tuhuruma wakati mwingine zinalemaza akili mkuu ...

Masharti na vigezo kuzingatiwamanuu analalamika huku, muonee huruma
Hahahaa kweli kabisa chezea mahabatical wewe: BABA NA BINTI YAKE
Binti: Baba kwanini unanikataza kushinda na Benny wakati ni Rafiki yangu tu wa kawaida tunajadili masomo!!?
Baba:Hebu jaribu kushinda na Toothpick mdomoni mwako kutwa nzima, lazima utaitafuna tu.
Nenda kwenye sub forum kisha chini kabisa utaona members only forum na hapo chagua Complain/ adviseMkuu MEMBERS ONLY inapitikana wap?
Nimezunguka kona zote siipati kabisa.
Yesu sio wa wachungaji pekee mkuuMmmmhh
Uchungaj umeanza Lin???
Baba hatari sanaHahahaa kweli kabisa chezea mahabatical wewe
Mambo zako..Nilikuwa nasema yaani..hahahaha amaizing bana yaani kama vipi yaan nakuelewa ile mbaya...Nakufeel yaani...Aisee nimepoteza comfo kabisa mtu mmoja anisaidie hapa ni nini nilikuwa nataka kumwambia amaizing jamani..Nilitoka kidogo
Nimerud sasa
https://www.jamiiforums.com/threads/likes-za-kapuku-mwisho-ni-5.1031686/page-8#post-15811741Mkuu MEMBERS ONLY inapitikana wap?
Nimezunguka kona zote siipati kabisa.
Me??what your favorite luxury car?
Haya mtumishi wa kujitegemeaYesu sio wa wachungaji pekee mkuu
Miss makapuku upo!Asante sana kwa upendo wako
Mambo zako..Nilikuwa nasema yaani..hahahaha amaizing bana yaani kama vipi yaan nakuelewa ile mbaya...Nakufeel yaani...Aisee nimepoteza comfo kabisa mtu mmoja anisaidie hapa ni nini nilikuwa nataka kumwambia amaizing jamani..
Dah..... Ndo maana hakutaki
Umeona ee, staki sadaka za washirika, mchungaji wa kujitegemeaHaya mtumishi wa kujitegemea