Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Si wajua vema tz twategemea kilimo au!unajaribu kumaanisha nini
Si wajua vema tz twategemea kilimo au!unajaribu kumaanisha nini
Wacha nione lakin wewe umeusomaje mwelekeo wake..?Ndo kashajitoa huyo. Pambana mwenyewe
mvua ndio inatulisha eti makupukuMkuu mvua isiponyesha hata jf hutaifungua mkuu, acha inyeshe tu
Yaani chance ya kukubaliwa ni ndogo kuliko kawaidaWacha nione lakin wewe umeusomaje mwelekeo wake..?
Sema kama unataka nimwache aggy ili tuishi pamoja.
Huyo emmyguy ni shida akija bae P nitakusemeanyie wawili ni shida tena?

Huko wapi mkuu, mbeya nini!Huku nilipo imeshakata lakini hiyo baridi sasa, naisikia mpaka kwenye mifupa
Dah jibu baya sana hili kuliko nilivyotegemea na ni wapi unadhani nakosea?Yaani chance ya kukubaliwa ni ndogo kuliko kawaida
umeniangusha ndugu amaizing alikuwa anaelekea vizuri kabisa sasa ulikosea kumuita dada. Dada maana yake ndugu. Ngoja tutajaribu baadae. Don't panic just relaxMkuu hata mimi nimeona uelekeo wa amaizing si mzuri kabisa sasa we ukikata tamaa mapema hivyo na wewe ndiyo mshenga unadhani mimi ntabaki kweliii?
Habari wana JF
Habari Makapuku wenzangu
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote humu.
Makapuku natumaini nyote tutashirikiana katika jambo hapa JF. Bila kumsahau founder wa makapuku prezidaa Bitoz shukrani kwake sana.
Members
EMMYGUY
ibra87
sizzya007
Nahrene
cute b
lizziebettie
UncleBen
peterchoka
nyumbatatu
dekitambi
HULILO
Kawalala93
damtanzania
Mama mkubwa
Thoomas
youngblood
tawa driller
SongeaOne
eden kimario
KABUGHA
Sambusa kavu
shaban lee
Nafsi huru
hassandady
Shemtibuko
sumbai
mabesela
dog 1
aggyjay
Elly_corner
Teacher on duty
willy fredy
Karibu sana makapuku katika mjadala. Wengine nitawaongeza hapo baadae.
Karibu sana
Bitoz
JF Makapuku Founder
Jimena
JF Makapuku assistant Founder
Th Name JF Makapuku assistant Founder
EmmyguySema kama unataka nimwache aggy ili tuishi pamoja.
Lakini tutawezana?
uishi na mimi kwa lipi ulilonalo
ukwendreee
Wanajisahau sababu ya mishemishe za town nini!mvua ndio inatulisha eti makupuku
Kweli. Msubiri tu wifi Lizzy mfanye yenu![]()
Kwani huyo dada yako??Dah jibu baya sana hili kuliko nilivyotegemea na ni wapi unadhani nakosea?
kweli mkuuSi wajua vema tz twategemea kilimo au!
hahahaha haya mambo haya Fanya hivyo basi halafu tuone itakuajeHuyo emmyguy ni shida akija bae P nitakusemea![]()
![]()
![]()
HapanaHuko wapi mkuu, mbeya nini!
Sasa c umalizie tu jamanHapana