Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mambo zako..Nilikuwa nasema yaani..hahahaha amaizing bana yaani kama vipi yaan nakuelewa ile mbaya...Nakufeel yaani...Aisee nimepoteza comfo kabisa mtu mmoja anisaidie hapa ni nini nilikuwa nataka kumwambia amaizing jamani..
Jamani maneno yako nshayaelewa...ila sijakubali
Th Name ulisema kuna gari au[emoji101] [emoji101] [emoji101]
 
manuu analalamika huku, muonee huruma
Ni kweli tena mwambie namzmia ile mbaya na hata juta akinukubali kuwa na mimi..Haiwezekani mtoto mwenye sura nzuri hivyo awe na mtu asiye mjali yaani mimi hapa kila siku lunch juu yangu..Jioni usafir hadi home juu yangu ..Haoliday yaani akisema Yes tu..Nafanya booking tukapumzike kwenye mbuga za serengeti..Umenikubali amaizing
 
manuu acha habari za lunch na holiday tupa Kule.
Gar IPO au?? Namaainisha kadi iandikwe amaizing[emoji593] [emoji593]
 
Back
Top Bottom