Makapuku Forum

Ni kweli ziligusa watu wengi, mimi nilikuwa nafanya kazi mahari, nikakuta watu wanasimuliana jinsi watu walivyokuwa wanauwawa Enzi hizo na kuoneshana picha, mimi nikawa nawacheki tu
KF ndo thread inayofuatiliwa zaidi JF
*Top 10
*Leo ktk historian
*Magazeti
Ndo segment 3 bora kwa kufuatiliwa
...................
 
Ooh jamani
Im gonna miss you
 
Mkuu unatania au!
Basi kama ndo hivyo sina lakusema bali nakushukuru kwa ushiriki wako kf na kuchangia kupaisha uzi huu, kila la heri mkuu
 
Wa kawaida sanaaa
 
Asante sana kwa muda wote ambao tulikuwa pamoja.
Ntakumiss sana kwakweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…