Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Eti binamu ndo ananidediketia kijanja sa sijui kweliYule chalii wa Kenya sijui anaitwa Nameless nadhani yule
Eti binamu ndo ananidediketia kijanja sa sijui kweliYule chalii wa Kenya sijui anaitwa Nameless nadhani yule
OohSweetiepie
Hiyo old is ever gold ni vepe? Lunch time si ndio hii??Nameless
Kiasi chakeYeah ulinipga tafu mpenzi
We ndo msemaji wake?Kafanyaje!!?
Hongera sana sweetiepie kwa 91kJaman ningependa Swt apongezwe kapata 91 k
Halafu si ile ya
U
K
U
T
A
Alaf ana eka a e i o ..
Ndo upate
Aaa she earned it ki kawaida kabsaa
Amepiga shuti moja matata sanaHongera sana sweetiepie kwa 91k
Jimena mpenda ukweli...!!Acha tu aseme ukweli
sana mkuuKumbe ndio mucheso yaooooo ndio mana wachezaji wanamupenda hivyo kocha wao![]()
![]()
![]()
![]()
I get you!! pamoja sana kipa wa ArsenaneHahahaha
Mkui sasa ulimueka level za Mbowe
Yeye alikuwa level za hamad rashid hivi
Kina cheyo na mrema
hakika...Huu mchezo hauhitaji hasira
Mwambie aweke pichaHapo tunaelewa wachache tu wenye degree za lugha dunian.. Wengine umewatenga mkuu..
Usiwaze ataletwa hapa.Na muhasisi wa Stallet tutamuhitaji siku moja...maana ni mbunifu
Captain FantasticSana sasa bora we Arsenal
Mimi ni United wa kugala gala
Lakin nliwapenda liva vbaya mno
Chini ya kamanda wa dhiki na shda kapten mwandamizi Steven Gerrad
Asante sana, ubarikiwe.Mmeamkaje leo makapuku!? Sabato njema kwako Mwenyekiti.
hakikaKupitia chanel ya kapuku na
Kubwa lao
Bitoz
LegendR.I.P lufufu
poaNtajitahidi nifike pande hizo nijionee
kelele tupuSahivi kuna kina DJ Mark wa kwa mtogole