Makapuku Forum

Makapuku Forum

LBJ kwa kiasi kikubwa atakuwa alihusika kwenye mauaji ya JFK kama anavyohisiwa.

Pia kuna taarifa za siri za mawasiliano ya simu kati yake na Edgar Hoover aliyekuwa bosi wa FBI zilinaswa kuhusu mipango ya kudondosha utawala wa JFK.
[emoji818]
Na ndo ali waambia kina Hoover eb fanyeni mchakato hili suala liishe
 
Back
Top Bottom