makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,944
- 104,279
Naimani alinunua tv nyingine kwa furaha, si kwa majonz tena.. Na wasawasi wangu asingenunua tv tena kama angekuta asubuh zimeongezeka kuwa 5 0clockHatareee
Kuna jamaa yetu ilivo kuwa 3-0 alivunja Tv kesho anavo amka kwenda kutupa, akaskia liva walishnda et
![]()