Makapuku Forum

Makapuku Forum

Weka picha tuone!!
1472297942469.jpg
 
91k tayari!!

Ngoja nitoe mpango kazi wangu kuelekea 100K.

Vita yote sasa ni 100k.

Hizo nyingine sijui 92k mpk 99k nitawaachia wenzangu wa mchangani wakiongozwa na JJ.

Hivyo basi nitangaze rasmi nimeanza kazi ya kuitafuta 100k kwa Udi na Uvumba.

Nakala kwa:
Jimena
Szczesny
shululu
Sweetiepie
jonax
werrason

Angalizo:
Kubwa lao huwa hayupo katika ligi hiyo, lakini sipuuzii uwepo wake!!
Hahahahahaha acha kunivunja mbavu[emoji1] [emoji1]
Eti sisi ni wa mchangaji???
We subiri uone ntakavyokufanya wakati wa 100k ukifika
 
91k tayari!!

Ngoja nitoe mpango kazi wangu kuelekea 100K.

Vita yote sasa ni 100k.

Hizo nyingine sijui 92k mpk 99k nitawaachia wenzangu wa mchangani wakiongozwa na JJ.

Hivyo basi nitangaze rasmi nimeanza kazi ya kuitafuta 100k kwa Udi na Uvumba.

Nakala kwa:
Jimena
Szczesny
shululu
Sweetiepie
jonax
werrason

Angalizo:
Kubwa lao huwa hayupo katika ligi hiyo, lakini sipuuzii uwepo wake!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom