Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Wamejifotoa tu inaitwa WACHOCHEZI STYLISHHivi hizi picha wanapigwa huko police au wenyewe tu wanajaribu kufikisha ujumbe??? Maana sielewi
...........
Wamejifotoa tu inaitwa WACHOCHEZI STYLISHHivi hizi picha wanapigwa huko police au wenyewe tu wanajaribu kufikisha ujumbe??? Maana sielewi
AmenBarikiwa
Pombe mbaya bhana, naskia huwa inakimbilia pale kati patam..10. Wana wake walio olewa huko Bolivia ni marufuku kunywa, mvinyo au pombe zaid ya glas moja View attachment 388275 ili kuendeleza ustaarabu na kuhakikisga wanawake walio olewa hawawi tricked na kina man4ongo wa huko, ni marufuku kumnywesha bia mke wa mtu zaid ya glass moja , sja jua waliangalia nn kueka sheria hii lakin
Sikuwa nimeelewa kweli.Hujaelewa
Namaainisha ukifanya hivyo utasakwa kwa uchochezi
..............
Huyu jesca mbona hajaandika kazi, au anafanya kazi zisizoruhusiwa kisheria.. Ama kwei j ni kilaza
Sio kweli.Pombe mbaya bhana, naskia huwa inakimbilia pale kati patam..
Wazee wa fuata mkumboMkuu mbona siwaelewi awa jamaa
Hapo sawa. Then will do thatWamejifotoa tu inaitwa WACHOCHEZI STYLISH
...........
Naunga mkono kwakweli... Mikis inaweza kupelekea kamnyweso kuanza.. Au anayewaendesha mkatoa kimawazo, kinachofata nini kama si kubiringita na kigari chenu huko machakani.Kupeana Busu kwenye gari lilonalo tembea-ItalyView attachment 388284 ni kosa kupeana mabusu kwenye gari iliyo katika mwendo, whether mna endsha au mna endesgwa huko Italy na kuna faini kubwa tuu ya Euro karibu 415 kwa kifanya hivo, kuweni makini mkienda na wapenzi wenu huko Italy
Sikuwa nimeelewa kweli.
Swali langu ni kwamba hao wote waliofanya hayo wamekamatwa???? Au ndio wanajaribu kufikisha ujumbe??
Hapo sawa. Then will do that![]()
![]()
![]()
![]()
U
K
U
T
A
Alrijalu kaw'wamuna...7, wanawake kuendesha gari -Saudi ArabiaView attachment 388293Ni marufuku kwa mwana mke kuendesga gari saudi, na mwana mke akwa kwenye gari lazma awe na guardia(msimamizi) ambaye ni mwanaume, ni bora hata aendeshe mtoto lakin awe wa kiume na si mwanamke
Huko naskia hata maduka ya nguo za kike wanauza wana ume, na mwana mke hutoki bila guardian wako
Hata mimi sielewiHuyu jesca mbona hajaandika kazi, au anafanya kazi zisizoruhusiwa kisheria.. Ama kwei j ni ******
Hata huyo pia kaonewa. Yani sahivi mtu utaogopa hata kunywa maji maana hukawii kuitwa mchochezi
Ktk simu hii ndo application pekee yenye magumashiSept 1 ifike tu jamani maana application imekuwa na kwikwi za mara kwa mara sana
Mi sijuhusishi na Polifix FB wala WhatsAppHata huyo pia kaonewa. Yani sahivi mtu utaogopa hata kunywa maji maana hukawii kuitwa mchochezi