Huyu tuliishi naye jirani1984 - David Bentley anazaliwa.
Mwanasoka wa zamani wa klabu za Blackburn, Tottenham na timu ya taifa ya England.
Alitabiriwa makubwa sana, kamamrithi wa David Beckham lakini hakuwahi kufika katika matarajio hayo.
Majeraha yalimfanya astafu soka mapema.
Chief buthelezi1928 - Mangosuthu Buthelezi anazaliwa.
Ni kiongozi wa upinzani nchini Afrika Kusini.
Aliwahi kukaimu Urais wa Nchi hiyo mara 22 katika Uongozi wa Mandela na Thabo Mbeki.
Yaani alikuwa akiachiwa nchi pindi Rais akienda nje ya Nchi.
Ni sawa na Mbowe aachiwe Nchi na Magu akienda ziara ya nje ya Nchi. Hapa kwetu haiwezekani na haitokaa itokee.
Much respect to King Haille Selasie1975 - Haille Selasie anafatiki Dunia.
Alikuwa ni mfalme wa Ethiopia.
Kweli mkuu...hadi style ya Nywele aligeza.Tatzo lake huyu alikiwa anataka kuwa Beckham completely, mwishowe yakamshinda.. Alikuwa anageza kila kitu.
Poa mkuuSouth afrika huko mkuu..
Sa uvaaji gani huo?
Haman Enzi zake alikuwa vizuri sana1973 - Dietmar Hamann anazaliwa.
Ni mwanasoka wa zamani wa klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya Ujerumani.
Ndiye shujaa aliyebadilisha mchezo baada ya kuingia akitokea Sub, wakati Liverpool ilipokuwa nyuma kwa goli 3 bila katika fainali ya Uefa 2005 dhidi ya Ac Milan.
Kuingia kwake kulibadilisha mchezo na kufanya Liverpool irudishe magoli yote na kushinda fainali ile.
AahHapa labda chama cha kijani kife kwanza ndio hilo linaweza kutokea
Wapo wkt wa raha tu(thread ikiwa hot)Hahaha
Eeeh
Alichangia kule alaf ile tym ataka aje tuu
Ika zngua
Nilikuona japo hukunishtua siku ileBlomfotein SA
Nlikuepo sku hyo
Ndio cuzzoHiii nawewe ulikuepo!!?
Mbona umefurahia kamnyweso namna hyo golia
Mcheza mpira ni Tijan BabangidaAaah
Safi kumbe babangida kabla ya kucheza mpira alikuwa rais
Point kubwa sana hiyo...Hahaha
May be wanaume wa Kenya nao ustaarabu wamezdsha
HahaHuyo dogo naeee
Huwezi elewa sababu huwezi kufa kirahisi hivyo Sept 1
Cja elewa
Babu yangu huyu1975 - Haille Selasie anafatiki Dunia.
Alikuwa ni mfalme wa Ethiopia.
Ngoja siku yake kwenye leo katika historia ifike, mzee Mussolini atakupa habar zote, hata km ni wa tandale.Hvi madari haya ya gypsum alianzisha nan!!?
Me more my sweet binamu