Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Mornin mutu ya kongoMorning family
Mornin mutu ya kongoMorning family
Sasa si wewe mwenyewe ndio unataka kwenda kufa na small hauz mi nifanyaje??

HahahaHata mi simpendi kabisa
There goes my babyMorning all
Magazeti ya leo jumamosi yanawajia kwa hisani ya binamu Szczesny na 10 kubwa
Karibu tuangalie yake yaliyojiri katika kurasa za mbele na za nyuma kama ifuatavyo
View attachment 388464View attachment 388465View attachment 388466

1991 - Moldova yajipatia Uhuru wake toka kwa USSR.
Ilikuwa ni muendelezo wa Nchi mbalimbali kujitoa ndani ya Ussr baada ya anguko la Ujamaa.
Nakupenda kama janaView attachment 388489View attachment 388490View attachment 388491
Naomba niishie hapo ili nisiwachoshe sana leo ni weekend au vipi??
Shukrani za dhati zimfikie binamu Szczesny na 10 kubwa kwa kudhamini segment hii,
Naitwa Jimena Jimenes a.k.a JJ muwe na weekend njema
Adios Makapuku
Inaanzaje kuninyima amani kwa mfano?? Binamu haendi popote kule small hauz anaendaga kujifariji tu nikimkazia, na toka ajue kuwa chai anayopewa![]()
inavyopikwa ameongeza mapenzi kwa familia
View attachment 388492

HahahahaPombe mbaya bhana, naskia huwa inakimbilia pale kati patam..
South afrika huko mkuu..Huu mji uko nchi gani
Sio kweli.
Usipende kuamini kila unachosikia uwe unachunguza

Nawe una majibu ya kizushi daily..Ana swali za kizushi daily
![]()
![]()
![]()
.......

Naunga mkono kwakweli... Mikis inaweza kupelekea kamnyweso kuanza.. Au anayewaendesha mkatoa kimawazo, kinachofata nini kama si kubiringita na kigari chenu huko machakani.
Ina mboa kweliSept 1 ifike tu jamani maana application imekuwa na kwikwi za mara kwa mara sana
Yes yesAlrijalu kaw'wamuna...
Naona hii ndio wameipa nafasi.
Bora hapa kwa nyerere..Ndjamena huko
Kanchi hakana hata mvuto
1916 - Gordon Bashford anazaliwa.
Ni mmoja wa waasisi wa madari ya Range Rover.
HahahaaHata huyo pia kaonewa. Yani sahivi mtu utaogopa hata kunywa maji maana hukawii kuitwa mchochezi