Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
2. Malipo ya chakula- Denmark
sheria ya ulaji huko Denmark inamtaka mteja yeyote wa chakula kuto mlipa muuzaji mpaka pale (kwa hisia zake mwenyewe mlaji) atakapo ona ameshiba na ana uhakika hana haja ya kuendelea kula, yaan nna imagen hii sheria ingekuwepo kwetu Iringa huko hahaha
2. Ipo sheria inayo wataka wana nchi wa Denmark kuto endesha gari ikiwa mtoto amelala na inatakiwa dereva yeyote kuto ondoa gari kabla haja angalia kama kuna mtoto aliye lala
2. Ipo sheria inayo wataka wana nchi wa Denmark kuto endesha gari ikiwa mtoto amelala na inatakiwa dereva yeyote kuto ondoa gari kabla haja angalia kama kuna mtoto aliye lala