Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Labda nae alikuwa Jipu...Kisa kilikuwa ni nini
Labda nae alikuwa Jipu...Kisa kilikuwa ni nini
Aliuawa tena wazi kabisa...mysterious death ileAaliyah walimuua kabisa
Enzi hizo mtu akimiliki hiyo anaichomeka kwenye suruali...View attachment 387503 Muda unakimbia sana!!!



Huyu dada inasemekana aliuawa kwa mambo ya blood Sacrificing like hakuwa na umuhimu tena katika music industry mambo ya Secret society hayo... tunarudi kule kule "Conspiracy theories" there you go.
Sema alikula kula chumvi 77 si haba kwa life ya sasa.
Wazo jema sana, hebu wahi*NAJISIKIA NIMEBOREKA...SIJUI NIENDE KITUO CHA POLISI NITEREMSHE BENDERA ALAFU NITOKE MBIO.....*
![]()
NisindikizeWazo jema sana, hebu wahi
Yanasemwa mengiHuyu dada inasemekana aliuawa kwa mambo ya blood Sacrificing like hakuwa na umuhimu tena katika music industry mambo ya Secret society hayo... tunarudi kule kule "Conspiracy theories" there you go.
Kiukweli nilikuwa nikiona watu wanazitumia...wanaringa kweli, mtu anaining'iniza kwenye luts zake za suruali miraba minne afu kila saa anaishika shika watu waone nae anamiliki simu! mana wakati huo mtu mwenye simu ndie mjanja.Ya kwanza kushoto kwako.
Sweetiepie sidhani kama alizikuta hizi simu
Hahaha huko ndo kijiweni kwangu karibuNisindikize
Ulaya na America siyo BongoSema alikula kula chumvi 77 si haba kwa life ya sasa.
Ni kweli wengine hadi wameshatutangulia.Hawa wameshazeeka sasa
Hiyo Nukuu inatuhusu sana sie huku wa Bongoland mana mambo yanavyoenda sivyo hata!NUKUU NO 1#
Sanaa ya Uongozi au sifa kuu ya kiongozi mzuri ni uwezo wa kusema "hapana" na si ndiyo'.
Ni rahisi kusema "ndiyo" kuliko kusema hapana.
Wakati mwingine ni vyema kukubali kushindwa ukawa umetenda sahihi kuliko kukazania kushinda ukawa umetenda hovyo.
Haya maneno yalisemwa na waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair.
Alizaliwa Mei 6,huko Edinburgh, Scotland. Alikuwa kiongozi wa Chama cha Labour kuanzia mwaka 1997 hadi Juni 2007.
Ndiye mwingereza wa kwanza kushika Uongozi wa Chama cha Labour akiwa na umri Mdogo


Quote zake zinahusika sana huku kwe2.