Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Hawa wameshazeeka sasaLeo katika Historia:
1825 - Uruguay yajitangazia Uhuru wake toka kwa Brazil.
Wanaadhimisha miaka 191 ya Uhuru wao.
Huyu ni shujaa kwakweli1961 - Rais Janio Quadros wa Brazil anajiuzulu Urais baada kutumikia wadhifa huo kwa miezi saba tu.
Apumzike kwa amani1967 - George Lincoln Rockwell anauwawa.
Alikuwa ni mwanzilishi wa American Nazi Party.
I real miss her2001 - Aaliyah afariki Dunia.
Alikuwa ni mwimbaji hodari wa muziki, Dansa, msanii wa filamu toka nchini Marekani.
Alishiriki katika filamu ya Romeo must die ya Jet Lee.
Siku kama ya leo Dunia ilimpoteza mrembo huyo akiwa na miaka 22 tu, baada ya kutokea kwa ajali ya ndege huko Bahamas.
Apumzike kwa amani, nilikuwa namkubali sana.
Dedication Song: See U When U get There by Coolio.
Weka pichaSina la ziada tukutane kesho, maana kesho ni siku kubwa sana.
Kwa udhamini mnono wa Team Weka Picha. Tukutane kesho.

Shukrani sana kwa historia, ngoja nifanye mchakato tusikilize ngoma mbili tatuSina la ziada tukutane kesho, maana kesho ni siku kubwa sana.
Kwa udhamini mnono wa Team Weka Picha. Tukutane kesho.
NUKUU NO 1#
Sanaa ya Uongozi au sifa kuu ya kiongozi mzuri ni uwezo wa kusema "hapana" na si ndiyo'.
Ni rahisi kusema "ndiyo" kuliko kusema hapana.
Wakati mwingine ni vyema kukubali kushindwa ukawa umetenda sahihi kuliko kukazania kushinda ukawa umetenda hovyo.
Haya maneno yalisemwa na waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair.
Alizaliwa Mei 6,huko Edinburgh, Scotland. Alikuwa kiongozi wa Chama cha Labour kuanzia mwaka 1997 hadi Juni 2007.
Ndiye mwingereza wa kwanza kushika Uongozi wa Chama cha Labour akiwa na umri Mdogo
2001 - Aaliyah afariki Dunia.
Alikuwa ni mwimbaji hodari wa muziki, Dansa, msanii wa filamu toka nchini Marekani.
Alishiriki katika filamu ya Romeo must die ya Jet Lee.
Siku kama ya leo Dunia ilimpoteza mrembo huyo akiwa na miaka 22 tu, baada ya kutokea kwa ajali ya ndege huko Bahamas.
Apumzike kwa amani, nilikuwa namkubali sana.
Dedication Song: See U When U get There by Coolio.
PouwazPoa kabisa
Niajez

Owkey........Hahahah ngoja aje atuambieYa kwanza kushoto kwako.
Sweetiepie sidhani kama alizikuta hizi simu
NUKUU NO 2#
Kansa ya Uongozi ndani ya CCM isingekuwa ni jambo la kutisha sana kama tungekuwa tumeanza kuona Chama kizuri cha upinzani kinachoweza kuiongoza nchi yetu badala ya CCM.
Ubovu wa Uongozi ndani ya CCM ndio uliofanya nikapendekeza tuanzishe mfumo wa vyama vingi.
Nilitumaini kuwa tunaweza kupata Chama kingine kizuri ambacho kingeweza kuiongoza nchi yetu badala ya CCM au ambacho kingekilazimisha CCM kusafisha Uongozi wake kwa kuhofia kuwa bila kufanya hivyo kitashindwa katika uchaguzi ujao.
Lakini bado sijakiona Chama makini cha upinzani, wala dalili zozote za kuondoa kansa ya Uongozi ndani ya CCM.
Ni maneno ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, kama yalivyo katika kitabu chake kinachoitwa Uongozi wetu na hatima ya Tanzania alichokiandika mwaka 1994.
Mwalimu alifariki Oct 14,1999
Age ain't nothing but a number - Aaliyah
Sema ndio hivyo tu ila aliwahi sana kuondoka jamani