Makapuku Forum

Makapuku Forum

9, Vita ya mwisho ya Yuan & kuundwa kwa Ming Dynasty
Makadirio ya vifo: 30 Million View attachment 387594 ukok wa kifalme wa Yuan ulianzishwa na Khuban Khan mjukuu wa Ghengis Khan mwaka 1260, na Yuan maana ake "iliyo kuu na iliyo tukuka" japo ukoo huo hata hauku tukuka, the issue is ulikaa milenia moja tuu kwani mwaka 1380 ufalme uligawanyika , na kukawa na vita, njaa na magonhwa hasa tauni, pia watu wa kawaida wali uana sana kipindi hiko na wana historia wana kiita kipindi hiki ni cha “one of the greatest eras of orderly government and social stability in human history.”
Kitambo mno hii
 
4, Mongol Conquests
Makadirio ya vifo: 60 Million View attachment 387620kama humjui mtu ana itwa Ghengis Khan, lazma una shda wewe!!
Huyu ndie aliye anzisha Ufakme wa Mongolia, na alifanikiwa kupiga na kuiteka asilimia 16%, ya dunia huko Mashariki ya mbali na ChinaView attachment 387623na hii ndo ramani inavo oneshwa kwani aliteka kutoka ufalme wa ,Koryo, Jin, Silla, Baekje mpaka bara hindi , na japo wajukui zake walitaka wafike ulaya ilishindikana, vita hzi za kujitanua zlianza miaka ya 1130- 1270 au 1300
Lakin hali haikuwa mbaya sana kwani wanasema ,maskini walisamehewa sana kodi na uvumilivu wa kidini ulikiwa mkubwa sanaa kipindi hiki cha kina Ghengis na Ghtu ghutu khan
1472148754146.jpg
1472148759068.jpg
1472148763452.jpg

Fat Khan
The conquer
.......
 
7, Taiping Rebellion
Makadirio ya vifo: 40 Million View attachment 387601mmh jaman nisiwe muongo hii sja ielewa
Ila wanao jua lughanisaidie " Jump forward a thousand years and the Chinese are at it again – this time with some help from the French, the British, and some American mercenaries. In 1850, the Qing Dynasty is now in charge of China. They had suffered some major problems before the rebellion, with natural and economic disasters causing havoc – not to mention the Europeans bringing opium addiction to China. So up stepped Hong Xiuquan, who amongst other things claimed to be the younger brother of Jesus Christ. Hong established the Taiping Heavenly Kingdom – and the carnage began. The Taiping Rebellion happened at roughly the same time as the American civil war, though the latter conflict proved to be far less bloody".
Hong katisha!!
 
6, Njaa ya kubwa ya China-makadirio ya vifo:43 million View attachment 387603sasa hapa ndo ilitakiwa rais wa Bongo ajifunze, hii njaa ilitokana na mchi kubadilishwa karibu kila kitu kwa muda mfupi

Nchi ya China baada ya kuingiza u komunisti na serikali ya mao kuanza kazi , njaa kubwa ilitokea mwaka 1958-1961, japo tatizo lilianza na kuwepo kwa ukame mkubwa sana miaka hiyo, lakini ina aminika pia serikali ya China ilikosea kwa kuamua kubadiki sera nzima na namna nzima ya uendeshaji wa Kilimo, ambo ulilenga kukuza viwanda na umiilikaji wa pamoja wa ardhi huko China na hapo ndipo watu walipo kiona cha moto, kwani ulipo tokea ukame serikali ilishndwa kukabiliana nao

Japo china sasa hvi ni taifa kubwa, mabadiliko yaligaharamikiwa na damu za watu
Damu itakuwa juu yao waliohusika kama wapo
 
1, European Colonization of the Americas
Makadirio ya vifo: 100 Million View attachment 387630baada tu ya bwana Christopher Columbus kuligundua bara amerika mwaka 1492, huo ndo ulikiwa mwanzo wa mabalaa mengii yaliyo lipata bara hilo, na kikubwa lilicho sababisha watu kufa sana ilikuwa ni wahindi wekundu walikiwa wana Ommunity ndogo sanaa, kila gonjwa walilo letewa na wazungu halikiwaacha salama, pamoja na vita, na matyzo mdogo madogo ila magonjwa ya ajabu ajabu yaliyo pelejwa nawazungu, wahindi wekundu wengi hawaku ya himili, so wana historia wana sema karibu asilimia 80%,ya wa amerika asilia, walikufa hasa karne ya 16,yoote, kutokana na magonjwa hayo na immunity yao ndogo
1472149104009.jpg
1472149108354.jpg
1472149112915.jpg

Chris The Columber
...........
 
4, Soviet Crimes
Makadirio ya vifo: 49 Million View attachment 387612baada ya mapinduxi ya oktba mwaka 1917, urusi ilikuja kuingia kwenye oja wa kisovieti, na jambo la kwanza lililo ikumba nchi hiyo kuanzia 1917 at least mpaka 1924,ilikuwa ni njaa kubwa, nchi ilitoka kwenye vita na baadhi ya maeneo vita iliendela , njaa ilikuwa kubwa na wakawepo watu wala watu (cannibalism ilikuwa ile ya kiwango cha juu) lakini baada ya. Machafuko madogo madogo hayo yana kadiriwa kuua watu milioni 19 tuu, Joseph Stallin pekee kuanzia mwaka 1924-1953,ana kadiriwa kusababisha vifo vya wa soviet milioni 30, kwani kwanza ilibidi achukue madaraka kwa nguvu, aliwaua maadui zake hata walio kuwa nje ya nchi, walio mgomea waliuawa sana, wengine walipelekwa kwenye labor camps kwaa ajilo ya kufanya kaz za mateso, inakadiriwa kwa kila miaka kumi aliyo ongoza Soviet ilipiga maendelo ya miaka hamsini kwa nchi ya kawaida, mfano mwaka 1931-37 watu waitwao wa kulaks takriban milioni 5 waliuwa huko Ukrain pekee, wakati zaid ya watu milioni 14. 5 waliuwa kwa miaka 7. Mingine, walio kuwa matajiri walifukuzwa nchini, au wali pelekwa labor camps( kwa ajili umya kujenga reli, barabara, mabomba ya mafuta, magereza na majengo mbali mbali.

Japo alisadia sana ushindi wa vita ya pili ya dunia, bwana Joseph Stallin alileta maendeleo ila yalipatikana kwa machozi , jasho na damu
Watawala wa Russia huwa wana roho ngumu
 
4, Mongol Conquests
Makadirio ya vifo: 60 Million View attachment 387620kama humjui mtu ana itwa Ghengis Khan, lazma una shda wewe!!
Huyu ndie aliye anzisha Ufakme wa Mongolia, na alifanikiwa kupiga na kuiteka asilimia 16%, ya dunia huko Mashariki ya mbali na ChinaView attachment 387623na hii ndo ramani inavo oneshwa kwani aliteka kutoka ufalme wa ,Koryo, Jin, Silla, Baekje mpaka bara hindi , na japo wajukui zake walitaka wafike ulaya ilishindikana, vita hzi za kujitanua zlianza miaka ya 1130- 1270 au 1300
Lakin hali haikuwa mbaya sana kwani wanasema ,maskini walisamehewa sana kodi na uvumilivu wa kidini ulikiwa mkubwa sanaa kipindi hiki cha kina Ghengis na Ghtu ghutu khan
Mi simjui sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom