KaribuTop 10, zna kuja now now
Ohooo.....weka video
Hahaha ndio hakuna asiyekumbuka hiyoUmenikumbusha Mzee wa Farasi!! Yupo hai bhana.
Nani anakumbuka kuna viatu flani hivi vilibatizwa jina la ali choki?



Aisee hawa ni wakongwe hivi kumbe...Leo katika Historia:
1825 - Uruguay yajitangazia Uhuru wake toka kwa Brazil.
Wanaadhimisha miaka 191 ya Uhuru wao.
!!?Wawashukuru sana kama ni hivyo1944 - Jiji la Paris lakombolewa na Majeshi ya Ushirika katika vita kuu ya pili ya Duniabaada ya kuwa chini ya Wajerumani toka mwaka 1940.
Ufaransa ilisaidiwa na Ushirikiano wa Uingereza na Marekani.
Duuh watu wabaya wakarestisha in pisi mapeema.1967 - George Lincoln Rockwell anauwawa.
Alikuwa ni mwanzilishi wa American Nazi Party.
Mugabe oyeee1980 - Zimbabwe yajiunga Umoja wa Mataifa.

Jamani...2001 - Aaliyah afariki Dunia.
Alikuwa ni mwimbaji hodari wa muziki, Dansa, msanii wa filamu toka nchini Marekani.
Alishiriki katika filamu ya Romeo must die ya Jet Lee.
Siku kama ya leo Dunia ilimpoteza mrembo huyo akiwa na miaka 22 tu, baada ya kutokea kwa ajali ya ndege huko Bahamas.
Apumzike kwa amani, nilikuwa namkubali sana.
Dedication Song: See U When U get There by Coolio.

, halafu naskia alikuwa akiuogopa sana usafiri wa anga.Kuna mtu aliwa Curse nadhani2009 - Senator Ted Kennedy anafariki Dunia.
Alikuwa ni Senator wa Massachusetts.
Alikuwa ni mdogo wa Mwisho wa aliyekuwa Rais wa Marekani, John F. Kennedy.
Ni miongoni mwa wanafamilia wachache wa Familia ya Kennedy kufa kifo cha kawaida.
Nitawaletea Laana/ Mkosi wa Familia ya Kennedy " The Kennedy Curse ".
Wengi wakiamini vifo vya ajabu vilivyoikumba baadhi ya wanafamilia wa Familia hiyo ni Mkosi au Laana.
Jamani tunakushukuru Dikteta kwa historia nzuri...mambo mengi huwa siyafahamu kwakweliSina la ziada tukutane kesho, maana kesho ni siku kubwa sana.
Kwa udhamini mnono wa Team Weka Picha. Tukutane kesho.
Na akafa sasa...doohBonge la wimbo!!!....ila sina mpango wa kufa-by Mr. Ebbo-R.I.P.
