Makapuku Forum

Makapuku Forum

NUKUU NO 2#

Kansa ya Uongozi ndani ya CCM isingekuwa ni jambo la kutisha sana kama tungekuwa tumeanza kuona Chama kizuri cha upinzani kinachoweza kuiongoza nchi yetu badala ya CCM.

Ubovu wa Uongozi ndani ya CCM ndio uliofanya nikapendekeza tuanzishe mfumo wa vyama vingi.
Nilitumaini kuwa tunaweza kupata Chama kingine kizuri ambacho kingeweza kuiongoza nchi yetu badala ya CCM au ambacho kingekilazimisha CCM kusafisha Uongozi wake kwa kuhofia kuwa bila kufanya hivyo kitashindwa katika uchaguzi ujao.
Lakini bado sijakiona Chama makini cha upinzani, wala dalili zozote za kuondoa kansa ya Uongozi ndani ya CCM.

Ni maneno ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, kama yalivyo katika kitabu chake kinachoitwa Uongozi wetu na hatima ya Tanzania alichokiandika mwaka 1994.

Mwalimu alifariki Oct 14,1999
Walimu wa zamani walikuwa na busara sana na hekima sijui wa leo...ila nadhani bado wapo.
 
NUKUU NO 3#

Kama haiwezekani ukaogopwa na kupendwa kwa wakati mmoja, basi ni heri uogopwe kuliko kupendwa.
Kwa hakika, ni jambo jema kwa binadamu kuogopwa kuliko kupendwa.

Haya yalitamkwa na mwanafalsafa wa kale wa Italy. Niccolo Machiavelli.

Alizaliwa huko Florence mnamo Mei 3,1469 na kufariki Dunia katika mji huo huo.
Machiavelli, ambaye alikuwa pia mwanadiplomasia, aliandika kitabu chake cha kwanza mwaka 1499 kinachoitwa Discourse on Pisa.
Hata hivyo kitabu chake maarufu na kinachosomwa na watu wengi mpaka sasa kinaitwa The prince na alikiandika mwaka 1513
R.I.P
 
4, Soviet Crimes
Makadirio ya vifo: 49 Million
1472146833044.jpg
baada ya mapinduxi ya oktba mwaka 1917, urusi ilikuja kuingia kwenye oja wa kisovieti, na jambo la kwanza lililo ikumba nchi hiyo kuanzia 1917 at least mpaka 1924,ilikuwa ni njaa kubwa, nchi ilitoka kwenye vita na baadhi ya maeneo vita iliendela , njaa ilikuwa kubwa na wakawepo watu wala watu (cannibalism ilikuwa ile ya kiwango cha juu) lakini baada ya. Machafuko madogo madogo hayo yana kadiriwa kuua watu milioni 19 tuu, Joseph Stallin pekee kuanzia mwaka 1924-1953,ana kadiriwa kusababisha vifo vya wa soviet milioni 30, kwani kwanza ilibidi achukue madaraka kwa nguvu, aliwaua maadui zake hata walio kuwa nje ya nchi, walio mgomea waliuawa sana, wengine walipelekwa kwenye labor camps kwaa ajilo ya kufanya kaz za mateso, inakadiriwa kwa kila miaka kumi aliyo ongoza Soviet ilipiga maendelo ya miaka hamsini kwa nchi ya kawaida, mfano mwaka 1931-37 watu waitwao wa kulaks takriban milioni 5 waliuwa huko Ukrain pekee, wakati zaid ya watu milioni 14. 5 waliuwa kwa miaka 7. Mingine, walio kuwa matajiri walifukuzwa nchini, au wali pelekwa labor camps( kwa ajili umya kujenga reli, barabara, mabomba ya mafuta, magereza na majengo mbali mbali.

Japo alisadia sana ushindi wa vita ya pili ya dunia, bwana Joseph Stallin alileta maendeleo ila yalipatikana kwa machozi , jasho na damu
 
4, Mongol Conquests
Makadirio ya vifo: 60 Million
1472147637088.jpg
kama humjui mtu ana itwa Ghengis Khan, lazma una shda wewe!!
Huyu ndie aliye anzisha Ufakme wa Mongolia, na alifanikiwa kupiga na kuiteka asilimia 16%, ya dunia huko Mashariki ya mbali na China
1472147930583.jpg
na hii ndo ramani inavo oneshwa kwani aliteka kutoka ufalme wa ,Koryo, Jin, Silla, Baekje mpaka bara hindi , na japo wajukui zake walitaka wafike ulaya ilishindikana, vita hzi za kujitanua zlianza miaka ya 1130- 1270 au 1300
Lakin hali haikuwa mbaya sana kwani wanasema ,maskini walisamehewa sana kodi na uvumilivu wa kidini ulikiwa mkubwa sanaa kipindi hiki cha kina Ghengis na Ghtu ghutu khan
 
NUKUU NO 4#


Kuna watu wanafikiri pengine hii kazi (urais) ni rahisi lakini kama unawapenda watu wako na unaumizwa na hali zao na unapenda uwavushe, hii si kazi rahisi.

Umekuja huku nje ya nchi na umeona mchakamchaka wa mikutano.
Usiku wa kuamkia leo nimepata usingizi saa11alfajiri na bado nina mambo mengine ya kufanya usiku huu.

Maneno haya yalisemwa na aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya nne Jakaya Kikwete, wakati wa mahojiano na waandishi wa habari.
Hahaha
 
4, Soviet Crimes
Makadirio ya vifo: 49 Million View attachment 387612baada ya mapinduxi ya oktba mwaka 1917, urusi ilikuja kuingia kwenye oja wa kisovieti, na jambo la kwanza lililo ikumba nchi hiyo kuanzia 1917 at least mpaka 1924,ilikuwa ni njaa kubwa, nchi ilitoka kwenye vita na baadhi ya maeneo vita iliendela , njaa ilikuwa kubwa na wakawepo watu wala watu (cannibalism ilikuwa ile ya kiwango cha juu) lakini baada ya. Machafuko madogo madogo hayo yana kadiriwa kuua watu milioni 19 tuu, Joseph Stallin pekee kuanzia mwaka 1924-1953,ana kadiriwa kusababisha vifo vya wa soviet milioni 30, kwani kwanza ilibidi achukue madaraka kwa nguvu, aliwaua maadui zake hata walio kuwa nje ya nchi, walio mgomea waliuawa sana, wengine walipelekwa kwenye labor camps kwaa ajilo ya kufanya kaz za mateso, inakadiriwa kwa kila miaka kumi aliyo ongoza Soviet ilipiga maendelo ya miaka hamsini kwa nchi ya kawaida, mfano mwaka 1931-37 watu waitwao wa kulaks takriban milioni 5 waliuwa huko Ukrain pekee, wakati zaid ya watu milioni 14. 5 waliuwa kwa miaka 7. Mingine, walio kuwa matajiri walifukuzwa nchini, au wali pelekwa labor camps( kwa ajili umya kujenga reli, barabara, mabomba ya mafuta, magereza na majengo mbali mbali.

Japo alisadia sana ushindi wa vita ya pili ya dunia, bwana Joseph Stallin alileta maendeleo ila yalipatikana kwa machozi , jasho na damu
1472148448530.jpg
1472148453434.jpg
1472148459901.jpg
1472148468777.jpg
1472148473533.jpg

The Killer Dictator
...........
 
1, European Colonization of the Americas
Makadirio ya vifo: 100 Million
1472148354035.jpg
baada tu ya bwana Christopher Columbus kuligundua bara amerika mwaka 1492, huo ndo ulikiwa mwanzo wa mabalaa mengii yaliyo lipata bara hilo, na kikubwa lilicho sababisha watu kufa sana ilikuwa ni wahindi wekundu walikiwa wana Ommunity ndogo sanaa, kila gonjwa walilo letewa na wazungu halikiwaacha salama, pamoja na vita, na matyzo mdogo madogo ila magonjwa ya ajabu ajabu yaliyo pelejwa nawazungu, wahindi wekundu wengi hawaku ya himili, so wana historia wana sema karibu asilimia 80%,ya wa amerika asilia, walikufa hasa karne ya 16,yoote, kutokana na magonjwa hayo na immunity yao ndogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom