Science of our friendsJaman thanks alot, mlikuwa nami
Szczesny Carrenza de la Casa de la Fuma
Kabla sja ondoka niseme nime wakumbuka watu wafuatao
Werrasom
Briz
Hata hawa japo waliondoka muda mrefu
Liz
Th name
Amazing
Manuu
Emmyguy
Sumbai
Linamo
Hata
Quigley na shululu kidogo(japo hata leo walikuepo)
"In the end we will remember not tha words of our enemies, but the silence of our friends"
Martin Ruther King jr.
Thanks.
Mi siliHakuna kitu kisicho liwa Duniani
Du huyu anaitwajeNumber 4, Harp SpongeView attachment 387066
KimeshaishaKaribu ihusike
Kuna vingine vilishapoteaDuuh Viliumbwa vingi sana Duniani
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Kwahyo aliwaboa wenzakeTtzo lennon alikuwa ana ki pride flan hvi hadi kili zid
Arafat ngumi jiwe au?Aaah
Kuna dogo aliitwa arafat mpaka now ana kula bata tuu ana someshwa na ubalozi wa palestina hapa town
Weka picha.Cousin Leo nimetupia post ya 89k dhidi ya mwenyekiti wa timu picha Mussolin5 na ushindi huo basi naudedicate kwako
Weka picha
HutaambiwaMi sili
Hasheem akasapueHasheem chamtoto
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.............
Mrefu kama mkojo wa asubuhiMrefu mpaka kero
Kuvita bangi?Bitoz unataka kunambia nianze kuvita bangi sasa...?!
Weka picha.