Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jaman thanks alot, mlikuwa nami
Szczesny Carrenza de la Casa de la Fuma

Kabla sja ondoka niseme nime wakumbuka watu wafuatao
Werrasom
Briz

Hata hawa japo waliondoka muda mrefu
Liz
Th name
Amazing
Manuu
Emmyguy
Sumbai
Linamo

Hata
Quigley na shululu kidogo(japo hata leo walikuepo)

"In the end we will remember not tha words of our enemies, but the silence of our friends"

Martin Ruther King jr.

Thanks.
Asante kwa top ten...
 
Number 10,Roughback Batfish View attachment 387048haha ujue wanao zama baharini huwa wana fia mengi sio kunywa maji tuu imagem una ona kitu kama hii, sasa huyu ni samaki ambaye saa nyingne huitwa anglerfish, the Ogcocephalus na ni jamii ya batfish ambao hukua nchi 4, yaan sentimita 10, na wana sema hutoa ute ambao huvutia samaki wengne wadogo wadogo na huwa ina wa shika na inawala
Na hapo ni ndani ya maji
 
Number 9, Northern Stargazer View attachment 387052huyu ni ainanya samaki anaye patikana huko marekani na huwa na urefu wa nchi takrobani 30, yeye huwa ana patikana hata futi 120,chini ya bahari na hupenda kujificha kwenye mchanga ili akamate mawindo, anapo taga mayai yake huya acha kwenye kina kifupi na visamaki mtoto vikisha zaliwa huingia navo chini ya baharo kuanza maisha huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom