Hope umeusoma
Huu ujumbe unahusika sana huu nimeuelewa sana....Love is weird aisee, soo weird and yet unpredictable, love is not planned (never) it always happens so fast bila mtu kutegemea yaani just like a plane crush, daah weirdo aisee...and most of all love is uncontrollable huwezi kujizuia.Kuwa Rubani wa Ndege haimaanishi ndio utakuwa Rubani wa Ndoa,...Unaweza kuwa Mwanajeshi tena Brigedia lakini kwen ye Ndoa ukawa Kuruta....Mwanasheria unaweza kusimama kwenye Court kwa ustadi lakini kusimama ndani ya ndoa ni zaidi ya Extended Jurisdiction!
Mapenzi sio Mchezo....Maprofesa wanakuna Vipara...Formula hakuna!.....Research zimebuma!..No Submission!....once U fall in Love heshimu hisia kwanza Status & Personality baadae!
Kijana naweza leo nikawa na ndoto ya kumuoa Miss World lakini kesho nikaishia kudondokea Katika Penzi zito la Binti Afisa wanyamapori Kitalu cha Kutunza NGIRI kule Mikumi. That's Love!
Unaweza sema utamuoa Mrembo Engineer tena under eighteen lakini ukaishia kupeleka Mahari kwa Bibi mstaafu wa Kiwanda cha Tumbaku Morogoro!,..That's Love!
Wapo Warembo Very Selective na waliowahi kutamba kwamba wataolewa na Vijana MA-handsome na Ma-tall lakini mwisho wa siku wakajikuta wamezama kwenye mapenzi mazito na Vibabu vistaafu Tanganyika Packers 1992,..yaani Kibabu ngozi imekauka .. Babu hapigwi busu mpaka apakwe Mayyonise....That's Love!
MAPENZI KWELI HISIA!...Huwezi jua! TUHESHIMU WENZETU.
![]()
![]()
![]()
![]()
...............
Atashinda kwasababu ya huyo mtotoHahahaa
Sasa kama akishinda urais tutakiwa tumeula hapo
If not ni shda , tena hyo
Anatisha...So guys leo akat nafanya mambo flan hvi nliona kwenye tv lakini nliona kitu cha ajabu ajab kidogo
Kina itwa seadragon nadhan
Hahaha
Nlicheka kdogo so chenyewe kipo namna hii
View attachment 387045
Then nika pata idea nifanye kuchek viumbe vingine vya ajabu ajabu ambavo hupatkana baharini yaan 10 craziest looking sea creatures of the deep sea
Twende kaziNadhan nilete top 10,ya kizushi
Hapa
Interesting......So guys leo akat nafanya mambo flan hvi nliona kwenye tv lakini nliona kitu cha ajabu ajab kidogo
Kina itwa seadragon nadhan
Hahaha
Nlicheka kdogo so chenyewe kipo namna hii
View attachment 387045
Then nika pata idea nifanye kuchek viumbe vingine vya ajabu ajabu ambavo hupatkana baharini yaan 10 craziest looking sea creatures of the deep sea
Mhh huyu anatisha zaidi ni kweli kama popo aiseeNumber 10,Roughback Batfish View attachment 387048haha ujue wanao zama baharini huwa wana fia mengi sio kunywa maji tuu imagem una ona kitu kama hii, sasa huyu ni samaki ambaye saa nyingne huitwa anglerfish, the Ogcocephalus na ni jamii ya batfish ambao hukua nchi 4, yaan sentimita 10, na wana sema hutoa ute ambao huvutia samaki wengne wadogo wadogo na huwa ina wa shika na inawala
Anatisha na haeleweki sura yake..... Bundi si bundiNumber 10,Roughback Batfish View attachment 387048haha ujue wanao zama baharini huwa wana fia mengi sio kunywa maji tuu imagem una ona kitu kama hii, sasa huyu ni samaki ambaye saa nyingne huitwa anglerfish, the Ogcocephalus na ni jamii ya batfish ambao hukua nchi 4, yaan sentimita 10, na wana sema hutoa ute ambao huvutia samaki wengne wadogo wadogo na huwa ina wa shika na inawala

Amekula shavu huyoAaah
Kuna dogo aliitwa arafat mpaka now ana kula bata tuu ana someshwa na ubalozi wa palestina hapa town
Analiwa??Number 9, Northern Stargazer View attachment 387052huyu ni ainanya samaki anaye patikana huko marekani na huwa na urefu wa nchi takrobani 30, yeye huwa ana patikana hata futi 120,chini ya bahari na hupenda kujificha kwenye mchanga ili akamate mawindo, anapo taga mayai yake huya acha kwenye kina kifupi na visamaki mtoto vikisha zaliwa huingia navo chini ya baharo kuanza maisha huko
Mi nimeona kama ana sura ya paka, kwakweli huyu fish ni paka mtupuNumber 8, Matsuba Koi (human faced fish)View attachment 387054ana itwa samaki mwenye uso wa binadamu si kwakuwa ana uso kama wa binadam ila the fact kwamba ana maskio, pua mdomo na mambo kama hayo ndo yana mfanya aitwe hvo
Actually ni ngum sana kupata maelezo yake kwa kina