Makapuku Forum

Makapuku Forum

Na kuna wanaodai ati kauawa na Freemanson..., maana mwishoni alikuwa hatii tena sheria zao alikuwa anawaexpose sana wakati wale ni "Secret society" gusa unase ukiingia hutoki labda wakuue...maana teyari unakuwa umeshatoa kiapo cha damu na roho kwa ku bind na sheria zao kuwa pet wao kufanya lolote wanalokuagiza...ila jamaa dakika za mwisho alikuwa anawa expose kidizain ile mbaya kwenye mahojiano yake mbalimbali.
Pia kuna wengine wanaamini hajafa.

Jina lake litaishi sana.
 
Ripoti ya Jaji Warren ilikuwa ni ya kupikwa tu.

Eti wakahitimisha kuwa muuaji wa JFK ni Lee Harvey Oswald peke yake.

Mpaka kesho sijawahi kuamini. Kuna nadharia nyingine inasema Bosi wa FBI nae alihusika.
Nadhani lee wali andaa naye mauaji lakin
Wakamgeuka kumfanya awe scapegoat
Mwishon ndo atakuwa alijua kiwa amekuwa abandoned
 
Mpaka leo muuaji wa tupac hajulikani.

Nadharia ni nyingi kuliko Uhalisia.

Kuna wanaodai kauliw na akina Biggie.

Kuna wanaodai kauliwa na akina Vyombo vya usalama.

na Kuna wanaodai kauliwa na Suge Knight.

Zote hizo ni nadharia tata na hazina majibu sahihi.
Kauliwa na kina biggie ndio maana wakamlipia kisasi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom