Makapuku Forum

Makapuku Forum

Na kuna wanaodai ati kauawa na Freemanson..., maana mwishoni alikuwa hatii tena sheria zao alikuwa anawaexpose sana wakati wale ni "Secret society" gusa unase ukiingia hutoki labda wakuue...maana teyari unakuwa umeshatoa kiapo cha damu na roho kwa ku bind na sheria zao kuwa pet wao kufanya lolote wanalokuagiza...ila jamaa dakika za mwisho alikuwa anawa expose kidizain ile mbaya kwenye mahojiano yake mbalimbali.
Uko very informed
Si wezi kusema freemason ila kuna wale ma don walo shikilia nchi ndo alijifanya ana wapinga
Sasa we mtu aligombana na CIA, FBI na financial moguls woote
Ki ujumla alibaki hana mtetezi
 
Nadhani lee wali andaa naye mauaji lakin
Wakamgeuka kumfanya awe scapegoat
Mwishon ndo atakuwa alijua kiwa amekuwa abandoned
Lee alimjua aliyempa misheni. Katika uhalisia wa kawaida, Lee alihaidiwa angelindwa. Lakini kumuua Rais sio jambo la kawaida, hivyo kwa maslahi ya Taifa, lazima Lee angeuwawa tu maana hata kama angefichwa na kulindwa iko siku tu angeropoka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom