Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,246
Tunywee supuKwani hizo MB mnanunua ili mfanyie nini?
Tunywee supuKwani hizo MB mnanunua ili mfanyie nini?
Aaaah
Calm down....Ohooooo![]()

Vipi kuhudu Daudi Ballali?Huyu Kafa kweli
Wazee wa kutoana roho hao...hawaona shidaLyndon B. Johnson kwa kiasi kikubwa sana anapewa shutuma za kumuua JFK na inasemekana alimfanyia faulo za wazi hata RFK asiingie kwenye sytem kwani mambo yangejulikana.
Reply to my PM basi.
Ripoti ya Jaji Warren ilikuwa ni ya kupikwa tu.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Japo hiyo wana iitaga conapiracy ila mimi ki ukweli nlishawishika mweer!!
Hata ike ripot ya tume ya Warrren sku iamini
HahahaWazee wa kutoana roho hao...hawaona shida
Hapo sawaNlikuepo hapa
Nkaenda kucheki makamanda walikuwa kanisan wana ombea UKUTA
Habari ka ileta mzee litz watu wamepanic ahahah
Maslahi mbele. Na ukicheza na maslahi yao wanakatisha uhai wako.Wazee wa kutoana roho hao...hawaona shida
Mpaka leo muuaji wa tupac hajulikani.
Nadharia ni nyingi kuliko Uhalisia.
Kuna wanaodai kauliw na akina Biggie.
Kuna wanaodai kauliwa na akina Vyombo vya usalama.
na Kuna wanaodai kauliwa na Suge Knight.
Zote hizo ni nadharia tata na hazina majibu sahihi.
Is this you? Yap u look good...kidogo ifikie nilichokuwa nawaza!! Nilitegemea sana uwe mzuri zaidi ya hapo.View attachment 385432
Hapo vipi??

123 plus sweetie=1234123...![]()

Ni wewe au pacha wako?View attachment 385432
Hapo vipi??
Na kuna wanaodai ati kauawa na Freemanson...Mpaka leo muuaji wa tupac hajulikani.
Nadharia ni nyingi kuliko Uhalisia.
Kuna wanaodai kauliw na akina Biggie.
Kuna wanaodai kauliwa na akina Vyombo vya usalama.
na Kuna wanaodai kauliwa na Suge Knight.
Zote hizo ni nadharia tata na hazina majibu sahihi.

, maana mwishoni alikuwa hatii tena sheria zao alikuwa anawaexpose sana wakati wale ni "Secret society" gusa unase ukiingia hutoki labda wakuue...maana teyari unakuwa umeshatoa kiapo cha damu na roho kwa ku bind na sheria zao kuwa pet wao kufanya lolote wanalokuagiza...ila jamaa dakika za mwisho alikuwa anawa expose kidizain ile mbaya kwenye mahojiano yake mbalimbali.