Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Ila akija brizTutashirikiana kwa upendo na amani she is my twin now.
Hata usi shirikiane nao
Waache kama walivo
Ila akija brizTutashirikiana kwa upendo na amani she is my twin now.
PoaBaadaye basi....Niko bize
Nitakuleteeni FIX
...................
Bize ndo waapi huko bitoz? ( weka picha), au weekend ndo kwaanza inaanza....Baadaye basi....Niko bize
Nitakuleteeni FIX
...................

Sawa nimekupata...Ila akija briz
Hata usi shirikiane nao
Waache kama walivo

hahahaa...bonge la wosia.Hahahaha
Jamaa wana fanya hadi mazoez mweer
WOSIA
Jimena utachukua nyumba ya dar, na account ya Barclays ataendeleza
Bitoz atachukua mbwa zangu mbili, nlizo nunua Iringa
Mussolin nna kofia za ma cowboy nlinunua texas zko tano JJ atakupa
Briz hapati kitu(na kwenye msiba asije)
Mkwe shululu, ata chukua gari yangu ndogo
Werrason Cd zangu za miziki ya kongo zoote achukue(JJ atampa)
Quigley ng'ombe mmoja wa maziwa(JJ ata mkabidhi)
Swt P ntamkabidhi mwenye vitu nnavo taka apate,(svitaji, ye ndio ata jua) kabla sja enda kwenye maandamano
Ni mimi Szczesny Carrenza
Mbeleye ya mwana sheria namkabidhi wosia huu utekelezwe mara baada ya maandamano ikiwa lolote lita nitokea
Muishi kwa amani msigombane
hahaha..umetisha.
Halaf tuna kikao weweSawa nimekupata...![]()
Hahahahahahaa...bonge la wosia.
Haina shida...niliwakumbuka tu, sema weka picha tuone weekend ilivyokuwa bize leo...![]()
Kikao kinafanyika wapi sasa...?Halaf tuna kikao wewe
Kuna vitu havja kaa sawa

Halaf kuna ishu ya Rais Nixon uliniomba ni ilete naifanyia kaz mkuuhahaha..umetisha.
Ndii maana nikasema Kusoma ni kipaji.Mkuu mi nlikuwa nspo soma sana hata 2,sipat
HaaaKikao kinafanyika wapi sasa...?![]()
Mbona mimi cha safari hii sijaitwa?Haaa
Ustake kusema hujui!!!
HahahaNdii maana nikasema Kusoma ni kipaji.
Serikali ya matamkoHuu ushamba ndo sha kubaliana nao kabsaa
AaahMbona mimi cha safari hii sijaitwa?
Ila wakiitwa waliofaulu umoMi sikumbuki kabisa kama kuna kipindi niliwahi kuwa msongo shule
Ndio!!We call it, Kusoma kipaji kufaulu mipango.