Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,738
- 12,424
kwani nimefanyajeNajua nitakupata wapi wewe
kwani nimefanyajeNajua nitakupata wapi wewe
Mimi ni mzima kabisa. Hujambo?leo hatujawasiliana kabisa..
vipi u hali gani?
Mulika mwizi.Nimemuona huyo
Wewe si unajifanya mjanja endelea tukwani nimefanyaje
mwambie Youngblood huku kijana kashaanza mambo yakeAbiria chunga mzigo wako
Cc youngblood
Huyu dawa yake ipoMulika mwizi.
jgamjadugmdatwpaj@#&%Wewe si unajifanya mjanja endelea tu
Fhyuibnmfjohjbjgamjadugmdatwpaj@#&%

sijambo, shikamoo mpz wangu?Mimi ni mzima kabisa. Hujambo?
Nasubiri nione mwisho wake huyu peterchokaNa wewe kamsaundishe Linamo.
Tuambie kwa kiarabu bibie
We ni sheeedahBoko haramu
Basi bibi... Inatosha... Unaweza kuondoka sasa?
Mmemshambulia bibi Faiza hadi akakimbia nduki.Ngariba yupo wapi jamani..
Mmemtimua nduki nini![]()
Kweli maa yako na yule Shem ni perfectoBaelezeeeeeeeeee.......... Ila yangu ni perfecto!

Ngariba yupo wapi jamani..
Mmemtoa nduki nini![]()
Kajishtukia maana ameona wazi kuwa hana impact