Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Ataruhusiwa na nani kwa mfano???Aaaah, ahsante kwa kujali
Ila nsha andika na wosia
Naomba sku ya maziko uzungumze wewe tuu!! Maagizo mengne ntakuachia
We call it, Kusoma kipaji kufaulu mipango.
Hii ni kweli kabisaKuna ticha alituambia ili tufahamu kiingereza eti tuwe tunafuatilia miziki ya mbele, movies, Cartoon, Novels na tamthiliya za kingereza pia, sa sina uhakika kama kuna ukweli ama ni juhudi zingine tu za mtu binafsi.
Sawa ntaandaa Brief speach kwa kipindi chote tulichofahamiana...Aaaah, ahsante kwa kujali
Ila nsha andika na wosia
Naomba sku ya maziko uzungumze wewe tuu!! Maagizo mengne ntakuachia
Jimena atanisaidia mana she knows you better than i do.HaaaaNa sweetiepie nae asikanyage. Ikitokea ukampa chochote kile basi jua ya kuwa Briz atakuja kuzika
Natumia Galaxy Note 50Kubwa lao unazingua. Hebu weka picha tuone ya kwako kwanza.

Mbwa. Zako zitanisaidia nini? Sisi hatuli mbwa au nizilawiti
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
................
HahahaKuna ticha alituambia ili tufahamu kiingereza eti tuwe tunafuatilia miziki ya mbele, movies, Cartoon, Novels na tamthiliya za kingereza pia, sa sina uhakika kama kuna ukweli ama ni juhudi zingine tu za mtu binafsi.
Popote alipo yule ticha asante na kiingereza changu cha Kuchanganya past present na future ila tunalisongesha hivyo hivyo....kibishi.Hii ni kweli kabisa
Na wewe utaongea vile vileAtaruhusiwa na nani kwa mfano???
Mali zangu za kilofa sihitaji ulinzi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mkuu
Si ulinzi huo!!!
Yaan una dharau mali za urithi toka Iringa!!!
YeeaaSawa ntaandaa Brief speach kwa kipindi chote tulichofahamiana...Jimena atanisaidia mana she knows you better than i do.
HahahaPopote alipo yule ticha asante na kiingereza changu cha Kuchanganya past present na future ila tunalisongesha hivyo hivyo....kibishi.
HahahahaMali zangu za kilofa sihitaji ulinzi
![]()
![]()
![]()
...........
Hahaha mzee wako alikuwezaHahaha
Mi ki ingkish nlijulia viboko tuu na makonzi ya mzee wangu
Baadaye basi....Niko bizeHahahaha
Bas uchukue ukauze
Upate hela
Tutashirikiana kwa upendo na amani she is my twin now.Yeeaa
U kno me too, mshirikiane sas msianze kugombana
AaahHahaha mzee wako alikuweza