Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahahaha
Jamaa wana fanya hadi mazoez mweer

WOSIA
Jimena utachukua nyumba ya dar, na account ya Barclays ataendeleza
Bitoz atachukua mbwa zangu mbili, nlizo nunua Iringa
Mussolin nna kofia za ma cowboy nlinunua texas zko tano JJ atakupa
Briz hapati kitu(na kwenye msiba asije)
Mkwe shululu, ata chukua gari yangu ndogo
Werrason Cd zangu za miziki ya kongo zoote achukue(JJ atampa)
Quigley ng'ombe mmoja wa maziwa(JJ ata mkabidhi)
Swt P ntamkabidhi mwenye vitu nnavo taka apate,(svitaji, ye ndio ata jua) kabla sja enda kwenye maandamano

Ni mimi Szczesny Carrenza
Mbeleye ya mwana sheria namkabidhi wosia huu utekelezwe mara baada ya maandamano ikiwa lolote lita nitokea

Muishi kwa amani msigombane
Mbwa. Zako zitanisaidia nini? Sisi hatuli mbwa au nizilawiti


................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom