Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Sasa kama hakusoma vitabu literature ali enjoy nini!!!Aisee Bitoz uko vizur sana upstairs kama ndo hivyo
Sasa kama hakusoma vitabu literature ali enjoy nini!!!Aisee Bitoz uko vizur sana upstairs kama ndo hivyo
Usjalo ntakupa ng'ombe 2, hapoHahaha...maziwa ya ng'ombe yanahusika naombako...
HahahahahaAaah i knew t!
Who else would do that
I hope umeshinda salama na hujalalamika kama jana
Kumbuka mtu mwenyewe nu quigley


, haina shaka naanza kuzoea zoea kibuti.HahahahaSerengeti wako vizuri wewe usiwalinganishe na wale kichwa cha mwenda wazimu
Baniani mbaya kiatu chake dawa.Kumbe umemfollow huyo fala
View attachment 385332
Missd u lyk......Nzuri...missing you
Asante sana...ntanenepa mwaka huuUsjalo ntakupa ng'ombe 2, hapo
Wikiendi kidogo ina ubize wa hapa na paleJimena, Binamu (Szny), Quigley, Shululu, Mussolin 5, Briz..hawa watu mmeenda wapi leo? au ndio mambo ya weekend![]()
Dont be sadThat's how life is....nimekubali matokeo![]()
Mimi nilisoma masomo 7 tu.Haha mimi Chemistry, Biology, Physics na Hesabu inshort sikuyapenda. Nikaja kupenda masomo ya biashara tu angalau hesabu zake haziumizi sana.
Vere vereAngel of mine...huu wimbo huyo mdada wa macho ya blue nae kauimba vizuri.
YesHawa watu maisha yao huwa ni Dynamic unaweza usiwaelewe...waliimba hizo zamani now days yeye na dada yake wote ni walokole wanaimba Gospel tu.

weka picha kunogesha maelezo yakoWewe ni Jiniazi mimi nilikuwa ****** wa hesabu. Ila kusema ukweli masomo niliyokuwa natusua sana ni Geography, History na English. Civics O level nilitusua sana nayo.
YeahHahahahaha, haina shaka naanza kuzoea zoea kibuti.
We call it, Kusoma kipaji kufaulu mipango.Somo ni somo hakuna jiniazi ....nilikuwa bonge la mvivu ht kuandika history siandiki zaidi ya photocopy halafu literature au fasihi sisomi vitabu zaidi ya uchambuzi lkn mambo yangu hayakuwa mbaya
..............
HahahahaBaniani mbaya kiatu chake dawa.
Upo Monduli nini?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Leo nme shinda nachunga ng'ombe
Kama eddo vile
Yeah u shouldAsante sana...ntanenepa mwaka huu