Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kumbe umemfollow huyo fala
1471790078847.jpg
 
Sikuwahi kuipenda Biology japo sikufeli.......yaani kufundishwa Funza ,fungus n.k nilikuwa naona kichefuchefu na practical tunawasha stove km vile tunajipikilisha

...............
Haha mimi Chemistry, Biology, Physics na Hesabu inshort sikuyapenda. Nikaja kupenda masomo ya biashara tu angalau hesabu zake haziumizi sana.
 
Haha mimi Chemistry, Biology, Physics na Hesabu inshort sikuyapenda. Nikaja kupenda masomo ya biashara tu angalau hesabu zake haziumizi sana.
Hesabu siyo ngumu wala nini nilikuwa nalala tu sismi wala kufanya exercise ikifika pepa nakariri formula za statistics n.k halafu natisua tu
Watu tunatofautiana
............
 
Hesabu siyo ngumu wala nini nilikuwa nalala tu sismi wala kufanya exercise ikifika pepa nakariri formula za statistics n.k halafu natisua tu
Watu tunatofautiana
............
Wewe ni Jiniazi mimi nilikuwa kilaza wa hesabu. Ila kusema ukweli masomo niliyokuwa natusua sana ni Geography, History na English. Civics O level nilitusua sana nayo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom