Makapuku Forum

Umeonaeeh???....mara unaulizwa una jipu? ....una vogi?....una siks pak???....una apatmenti???....hau mach du yu en pa dei???....a yu hensam???....mara a yu siksi fit tolu???
Wakati mtu huyo huyo huko anakoishi ameshindwa kupata hata wa kumsalimia sembuse hao wenye six pak, sasa mi naona heri wangekuwa wanaweka picha zao tuwaone, utasikia awe ameajiriwa lakini sio mwalimu wa shule ya msingi lol......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…