lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Ndio babe!Tubaki wenyewe mjini hapa
Ndio babe!Tubaki wenyewe mjini hapa
namuona, badala achat na manzi wake kazi kudandia wa wenzakeBae unamuonaeee
Ndo maana nakupenda sana babyNdio babe!
Mimi nakupenda zaidiNdo maana nakupenda sana baby
Asante mama watotoMimi nakupenda zaidi
mmmnnhh!!!Mimi nakupenda zaidi
start again....loading...68%...failed
Hahahaaaaa sasa naamini kwann nimeambiwa kupata mji ni nguvu zako....Muulize Linamo anajua zaidi, maana siku nyingi ananipenda ila ndo hivyo tena nshawahiwa mie.

Hayo ni maneno tu, ila moyo ndo unaosema kweli.Hata sikutaki usijibaraguze hapa kwa lipi?? Aku![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sijachoka mie, labda angalia kwa Linamo na peterchoka unaweza pata sub.Hahaa nimepata taarfa umechoka nko sub apa![]()
![]()
Nataka jioni ifike tu baby
Vipi Petermmmnnhh!!!
Bado kidogo inafika mpenzNataka jioni ifike tu baby
Kila mda napenda tuwe wote babyBado kidogo inafika mpenz
aliyechoka ni peterchokaSijachoka mie, labda angalia kwa Linamo na peterchoka unaweza pata sub.
Hahaaa Linamo na peterchoka nina taarfa zenu nipo sub hapa...Sijachoka mie, labda angalia kwa Linamo na peterchoka unaweza pata sub.
Asante my hubbyKila mda napenda tuwe wote baby